Napenda kutoa ushauri kwa wanaJF kuwa, ni vyema tukawa na sikukuu yetu ambayo pamoja na mambo mengine itatoa tathmini kuhusu michango mbalimbali inayotolewa na mbember wa JF. Pawepo pia na mshindi ambaye atakuwa amechangia kuliko wachangiaji wengine wote. Hili ni wazo langu. Wenzangu nanyi mwasemaje??????
hapo lazima msekwa atume watu wake na mkulu naye lazima atume wale vijana wake wa pale Makumbusho na St Peters ,shauri yenuNapenda kutoa ushauri kwa wanaJF kuwa, ni vyema tukawa na sikukuu yetu ambayo pamoja na mambo mengine itatoa tathmini kuhusu michango mbalimbali inayotolewa na mbember wa JF. Pawepo pia na mshindi ambaye atakuwa amechangia kuliko wachangiaji wengine wote. Hili ni wazo langu. Wenzangu nanyi mwasemaje??????
unadhani wakitaka kukukamata wanashindwa?
Umetumwa na UWT kuuza hilo wazo ili watujue wana janvi, tumekstukia!!
<br />issue siyo kukutana. Kubwa ni kumpata mshindi wa JF. Sisemi kupambanisha kama Bongo star.