Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
- Thread starter
-
- #101
Kutoa mimba ni uuaji aisee..Mkuu,mtu kukung'ang'aniza utoe mimba ukakataa then unagundua kuna mwenzio pia ana mimba ya bwana huyohuyo bado ni tatizo langu pia?
Kumbe ndo ulivyo? Mawasiliano yetu umeweka hewan,au nami nimwage ugali jogoo wako alivyowika nusu?Singo maza watamu hasaa sijui kwanini...!!!
Hapa nipo kwenye harakati ya kubembeleza Singo maza watatu wanipe.
Wawili wamesha confirm kabisaa kunipa mbunye.
Wa kwanza ni short chesesi moja nzurii ina churaa hiyoo.
Nilikua nabembeleza kupewa tokea mwaka jana Ila Alhamisi ya juzi asubuhi kabisa nikiwa kazini napokea hii sms...
Yaani hapa natafuta ki activity cha ofisi cha kwenda kufanyia Dar ili niende kikasugue hii mbunye.
Natamani ofisi initume niende Dar hata kesho..!!
View attachment 1786696
---------------------------------------------------
Ya pili nimeanza kuibembeleza March mwaka huu mpaka leo anazingua.
Nae yupo Dar.
Ni Singo maza Toto jeupee, chura kama yotee, kifupi LIMEUMBIKA.
Ipo siku tu ATANIELEWA.
Juzi kaomba hela ya sikukuu, nikamjibu "Mwekezaji anawekeza pesa zake kwenye return" dah akaamua kuchuna kabisa.
Wakati zamani ilikua kila siku ananitumia sms, nikianza kuomba mbunye ananikwepesha "Hadi uje kunitolea Posa" sasa kwani nani anataka kuoa Singo maza?
Sasa Mimi nitagharamia vipi sehemu ambayo sina uhakika wa kupewa Mbunye? nipe Nikupe, win win situation bana.
----------------------------------------------------
Hii ya tatu ipo mkoa wa jirani.
Ni black beauty moja model Tamu sanaa.
Nilianza kuomba tokea mwaka 2019 mwezi 11, HUWA SIKATAGI TAMAA KWENYE MAISHA YANGU.
HII NDIO KANUNI YANGU, NIKITAKA KITU KUKATA TAMAA MWIKO.
Nimeimbishaa mpaka juzi nae kani promise ""Akija huu mkoa niliyopo (huku ni kwao, huko alipo ni kazini. Na huko kazini ni mkoa wa jirani)"" ATANIPA MBUNYE.
View attachment 1786698
-----------------------------------------------------
Nilichogundua mtoto wa kike, ukiomba mbunye yake vyovyotee atakavyokujibu we USIKATE TAMAA.
Endelea kubembeleza na kuwa mpole IPO SIKU ATAKUPA TU.
AM ADDICTED TO SINGLE MAZA.
Nimekula nyingi sanaa, nao ni binadamu wanastahili kupendwa.
#YNWA
Nimepata mimi mkuu,Mungu kanitunuku..nishindwe mimi tuKutoa mimba ni uuaji aisee..
Tatizo ni kwamba.
Men are hungry for pussies and women are hungry for money.
Kupata penzi la kweli DUNIA ya sasa UTASOTA sanaaa...
#YNWA
Kwani unamjua yoyote hapo?Kumbe
Kumbe ndo ulivyo? Mawasiliano yetu umeweka hewan,au nami nimwage ugali jogoo wako alivyowika nusu?
Ulishawahi post humuhumu kuwa hujawahi kumpenda na umejilazimisha umeshindwa.Nimepata mimi mkuu,Mungu kanitunuku..nishindwe mimi tu
P-pussyKwani unamjua yoyote hapo?
Sijatoa code zoteee.
Isitoshe wotee nimewa save P...
Unajua P ni kina nani?
#YNWA
Umekosea sio Pussy...P-pussy
Sijawahi kiukweli,ila najitahidi kumpenda coz hajawahi nikosea kiukweli...ni mtu sahihi sanaUlishawahi post humuhumu kuwa hujawahi kumpenda na umejilazimisha umeshindwa.
Upo kwa ajili ya pesa zake tu.
#YNWA
Kikubwa usipate maradhi kuraruana ni kitu cha kawaida msala ngoma broWotee ni Pussy...
Hizo ni code zangu.
Wengine nawaita D..!!
#YNWA
Tatizo ni tabia zenu hizo ndo maana mnaachwa.Single mother, wanaume mnaotuacha na watoto au mimba zenu hukumu mnayo.Wanawake tunadharaurika sana
Tunashukuru,tafuteni mabikra wakionjeshwa na mahouseboy wanagawa hadi kwa mbwaTatizo ni tabia zenu hizo ndo maana mnaachwa.
Mungu awaongoze.Sijawahi kiukweli,ila najitahidi kumpenda coz hajawahi nikosea kiukweli...ni mtu sahihi sana
Unanivunja moyo mbonaa wakati hizi ni ndoto zanguu ..Tunashukuru,tafuteni mabikra wakionjeshwa na mahouseboy wanagawa hadi kwa mbwa
Amen.Kikubwa usipate maradhi kuraruana ni kitu cha kawaida msala ngoma bro
Timiza ndoto si wote hubadilika kama single mother si wote wabayaUnanivunja moyo mbonaa wakati hizi ni ndoto zanguu ..
#YNWA
Sanaaa bosi.Tatizo ni tabia zenu hizo ndo maana mnaachwa.