Sikukuu za mwisho wa mwaka na kuishiwa kwa hela Mwaka uanzao

Mr disprin

Senior Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
197
Reaction score
88
Hivi ni kweli sikukuu za mwisho mwaka zinamaliza pesa au ni kipato kidogo ?
 
Lengo la sikukuu ni kukumbuka kuenzi mema yaliyopita...mfano kukumbuka kuzaliwa kwa Yesu kristo n.k...suala la matumizi ni mfumo tu Wa maisha tuliojizoesha tangu kitambo kwamba ikifika sikukuu lazima upike vya gharama,watoto wavae vizuri,kusafiri,starehe na kadhalika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…