Ngongoseke
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 3,202
- 1,462
- Thread starter
-
- #21
hamna kitu kibaya kama kugundua mpenzi wako anakusaliti, hiki kitu kimenitokea katika maisha yangu, omba yasikukute.
Du mikasa mingine inasikitisha sana, lakini nimekubari sana ushauri wako wa mwisho.
mapenzi haya.........
Aisee hii ngumu kumeza. Hongera kwa kutulia, na mmama naona aliona hana thamani ya wewe ndio maana akasepa!
Vipi umeoa tena au umeshaathirika kissikolojia?
Na unamuona mkeo mpya kama wa zamani, au umeshaweza kutrust tena!
A word of advice kwa wengine waliotendwa kama wewe na hawajarecover bado!
Jeff nimetoa angalizo hapo ikiwa tunawapenda wapenzi wetu basi tusipekue sana wanayofanya,maana wengi wetu sio waaminifu
Ndio maana naipenda JayEfu, nimeshapata ma tactic mengine ya kuendesha shughuli za kipelelezi. Mimi bado naamini kuwa information is power...sikubaliani kabisa na wanaounga mkono kuwa ni bora usijue...napenda sana kuwa informed. Lol. Kwa sababu nina kifua cha kufanya maamuzi...
Story kama hizi zinatufanya tufikirie mara mbili mbili kuoa!!
.... kumbe na wewe unasumbuliwa na hizi story mkuu. Ikifika hapa nami huwa napata mawazo mengi sana juu ya hii kitu na hasa kwa wale ambao tunafungwa na mke/mme mmoja
Hahaha kwa kidume changu hakina ubishi mzee kama vile copy kila kitu huyu kamanda na mimi,na hata wewe ukiona mimi na kamanda wangu utakubali,
Kumbe tuko wengi wa kufarijiana..............Lakini pia hata kama unafungwa na wake watatu bado tatizo liko palepale! unaonaje tukianzisha bachala club!!!!!!
daaa,we mkaree,ulisomea ushushushu MOSAD nini,hii technic yako ni superb,pole sana mjomba,that's hw life it iz,jipange upya,aluta continua,goodluck ulimstukia mapema na akajindoa mwenyewe,ndo maana mi nasemaga nikimfumania mke wng anagongwa laiv,nawatumbulia macho halafu natoka nje hata siwadhuru,utaona kiwewe watakachokipata,wyf mwenyewe atafungasa virago bila kufukuzwa halaf mm najifanya kushangaa tu