Sikumbuki ushujaa ule nilipata wapi!!!!

[QUOTE Pls msijaribu kuwafanyia hivi wake zenu kama bado mnawapenda,,,[/QUOTE]

Nimeupenda huu ushauri wako mkuu..
 
Kaunga moyo una sifa 2 kusahau nakubadilika,ni muda sasa umepita nimeshasahau ila kuowa nataraji January next mungu akipenda ntajaribu tena bahati yangu'

Mkuu Ngongoseke, pole sana na hongera. Kucheat ni kama rushwa, hakujaanza leo, kupo na kutaedelea kuwepo. Ukigongwa na nyoka ukiguswa na unyasi? Utakayejaliwa kupewa na Mungu hiyo Januari, mmmh! sijui utakuwaje/atakuwaje, we are all the same. Je, just be cooperative, hujawahi kufanya usaliti, au to be sincere and precise, hujawahi kutoka? Mungu akubariki. Kumbuka, SIMU SIMU SIMU, KILONGALONGA, ni chako, kila mtu chake, hapana kukifanya shirikishi. Ukiianza kukifanya shirikishi, unaeject upendo, then mapenzi in its name.
 
Jeff nimetoa angalizo hapo ikiwa tunawapenda wapenzi wetu basi tusipekue sana wanayofanya,maana wengi wetu sio waaminifu

Unajua inavyouma kwa mke hata wanaume mjue kwamba inauma mnapofanya kwa wake zenu. NImegundua kitu kimoja ukitaka kuishi maisha yenye usalama usimchunguze mwenza wako, utakufa kihoro. kama humuamini bora muachane kila mtu kivyake. Memory ya kucheat kama huna Roho mtakatifu akaiondoa rohoni na kichwani unaweza ikuishi maisha yakipekee usioe au olewa.

Why do we cheat? kama kuna kitu kinakosekana kwa nini misweke hadharani kianze kufundishwa au kufanyiwa mazoezi na wewe ukipate toka kwako. Watu wengi hawajui ukianza maisha ya kufanya ngono nje ya ndoa yako athari ni kubwa? Tumuombe Mungu wetu atuponye na uongo usio wa lazima!
 
pole sana kwa yaliyokukuta. huyo mwanake angekuletea magonjwa. ila haukwenda kwao kuuliza kwanini ameondoka?
 
DUH unankumbusha mie nlichat na mwizi wangu kwa cku nzima, mpaka nkujua location ya meeting zao huku nkiwa nimekaa na husby pemben, nkabaki naguna tu mh, yaliponishinda ikabd nimuulize mwizi yule, hv unamjua unaechat nae, coz nliamin labda kuna mtu alitumia no ya husby, aknijib yes naongea na ............nkamwambia umekosea unaongea na mrs ......., mwe haki ya nan, hv vitu visikie tu, vinauma,,,,,pole wangu
 
hamna kitu kibaya kama kugundua mpenzi wako anakusaliti, hiki kitu kimenitokea katika maisha yangu, omba yasikukute.

aisee.. mi nilikosa kula siku 4. but since that time sijawahi kupenda tena mwanamke.
 
ndio mana wanawake wan siku moja katika mwaka siku ya wanawake duniani.. but zote 364 za wanaume ...lol.. fun. msije mkanishambulia bure jm..
 
Duh kali ulifanya kosa ulipoenda home usingechati naye ungepiga kimya ..ungepanga mkutane mahali hapo ungemkamata ..
emma siyo rahisi sana kwenye mapenzi hasa mke /mme kusubiri na kama nia yako si kukamata ugoni huhitaji kuadhilishana hadharani.
 
Jamani haya mambo kwakuwa yameshafanyika ndio maana watu tunawaza ingekuwa hv ingekuwa vile lkn ukweli kuwa ikishakutokea akili inahama yote'ahsanteni sana kwa kunifariji lkn kwangu yalishapita hv sasa nasonga na maisha mengne bila yeye tena'hii nimetoa kama somo kwa wengine
 

hongera kwa kuweza kusonga mbele unapotoa ushuhuda ni kwa ajili ya wengine kujifunza
 
siku nikimkuta mke wangu ananicheat nadhani nitazimia kwa presha,nampenda mke wangu jamani lol.!
 
ndio mana wanawake wan siku moja katika mwaka siku ya wanawake duniani.. but zote 364 za wanaume ...lol.. fun. msije mkanishambulia bure jm..

maliyamungu,umenichekesha kwa hii comment yako,u make my day!!!
 
siku nikimkuta mke wangu ananicheat nadhani nitazimia kwa presha,nampenda mke wangu jamani lol.!


Hahha tan umenifurahisha sana'utashangaa siku hyo utakuwa na ganzi ya ajabu
 
Samahani mkuu, kuna swali limeulizwa hapa chini naona hujalitolea ufafanuzi huenda jibu lake likasaidia wengi nikiwemo mie pia!!

[/QUOTE]
 

Mimi nina interest na hapa tu!!. Je umeshafanya DNA test kuhakikisha kuwa kweli hiki kidume ni cha kwako na siyo cha yule mjomba au kaka?
 
Aah, wewe ni mtaalam, ni mpelelezi nini?!, nimeipenda technique yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…