NOT ENOUGH
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 596
- 307
wewe si juzi juzi hapa ulikuwa unatafuta mwenza na vigezo ukaweka hapa..mara hii umekuwa na Mr??? aaah kazi kweli ipo...Halafu jukwaaa hili si la mambo haya mama...Huku ni kwa wale tunaotafuta kazi
Haaaaa???
Pole dear!!!!
Broken Heart??
Kuwa mpole wanaume ndo walivyo dear ila huku umepost sipo hebu peleka kule MMU
Labda alimpata Mr humu humu wiki tu akamtenda!!wewe si juzi juzi hapa ulikuwa unatafuta mwenza na vigezo ukaweka hapa..mara hii umekuwa na Mr??? aaah kazi kweli ipo...Halafu jukwaaa hili si la mambo haya mama...Huku ni kwa wale tunaotafuta kazi
wewe si juzi juzi hapa ulikuwa unatafuta mwenza na vigezo ukaweka hapa..mara hii umekuwa na Mr??? aaah kazi kweli ipo...Halafu jukwaaa hili si la mambo haya mama...Huku ni kwa wale tunaotafuta kazi
Sasa si nilitafuta mwenza ili nimpate. sasa kama nilimpata wewe hutaki? mbona unatoa majibu yasiyo na msingi wewe.
wewe si juzi juzi hapa ulikuwa unatafuta mwenza na vigezo ukaweka hapa..mara hii umekuwa na Mr??? aaah kazi kweli ipo...Halafu jukwaaa hili si la mambo haya mama...Huku ni kwa wale tunaotafuta kazi
Jamani mwenzenu yamenikuta ya kunikuta, nilikuwa mgonjwa jana siku nzima sikuweza kwenda kokote pressure ilikuwa juu.
Mr wangu alivyo ondoka nyumbani juzi tarehe 14 asubuhi hakurudi tena mpaka jana jioni. Imeniuma sana sababu hajanipa sababu zozote za msingi kwanini hakurudi nyumbani.
Niko kwenye maamuzi magumu nataka nimchukuwe mtoto wangu nikatafute kwa kuishi.
Sasa si nilitafuta mwenza ili nimpate. sasa kama nilimpata wewe hutaki? mbona unatoa majibu yasiyo na msingi wewe.
ndo tatizo la watoto kuachiwa kompyuta nyumbani wana post kila wanachojisikia..Ukikuwa utaacha utoto wala sikulaumu..Yaani 2 weeks umetoa tangazo umepata then kawa mume..kweli wewe maharage ya mbeya