sikuomba kuzaliwa, kwanini nihukumiwe na moto wa milele

Acha bange Mkuu..

Aliomba wakati hakuwepo?
Unataka kusema alijiumba mwenyewe?
Roho zote Mungu aliziumba siku Moja na Roho zote zilisaini makubaliano na Mungu

Hata binadamu ambao bado hawajazaliwa tayari roho zao zipo zinasubiri siku ya kuja duniani
 
Roho zote Mungu aliziumba siku Moja na Roho zote zilisaini makubaliano na Mungu

Hata binadamu ambao bado hawajazaliwa tayari roho zao zipo zinasubiri siku ya kuja duniani

Hizo roho zilimuomba au kumtaka Huyo mungu aziumbe ili baadaye aziletee matatizo huku?
 
Mwenye akili timamu hana hofu ya moto wa milele kwani ni mchongo tu wa wazungu ili upkeep imani yao. Najua utanishangaa!!!"hata ufufuko ni mchongo". Not a historical event at all.
 
Uko hapo sababu umechagua kuwa hapo, kila linakutokea ni chaguzi zako wewe mwenyewe. Tatizo ni kwamba hauko aware kuwa wewe ndio mchaguzi

Endelea sana kutafiti kuhusu hili swali ulilouliza na huenda ukaja pata majibu baadae

Jiulize ni nani aliyefikiria kwenye kichwa chako kuhusu hii mada? Na huyo aliyeandika hii mada ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…