klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
alrite sasa nimekupata, nilidhani hiyo "sikupanga kuwa na mtoto" ni formal quote kumbe unaongelea quote za mitaani sio? poa.Kloro bana....
Yani kabisa hujawahi kusikia mtu akisema "ahh sikupanga kua na mtoto mie...ilikua bahati mbaya tu" ...?!Wapo sana na wengine hua hata wanasema mbele ya hao watoto!
alrite sasa nimekupata, nilidhani hiyo "sikupanga kuwa na mtoto" ni formal quote kumbe unaongelea quote za mitaani sio? poa.
My view:
Kama mtu amefika mpaka kupata mtoto na akawa still anaiendeleza hiyo quote basi kwangu mimi namuona kama yeye ndio mama/baba ambae hakupangwa na wala sio mtoto ambae hakupangwa.
Nimemaliza!
offu topik: ushabadilisha msimamo wako wa kwamba hutoi starehe mpaka utake mtoto?
Ndo haswaa mwenyewe wala hujakosea! Ingawa jina umelitaja kinyumenyume LOLMayasa hiyo avatar yako naipenda. I looove this chick! Jumbo Uche sijui!
Mayasa huyu mdada ni mcharuko yaani huwa nikiona filamu yenye jina lake lazima niitizame mpaka mwisho . Ana visa balaa na hilo jiumbo lake mh!!Ndo haswaa mwenyewe wala hujakosea! Ingawa jina umelitaja kinyumenyume LOL
Hahahaha naona nimewagusa pabaya we na Kloro!!
Nwy nlichokua najaribu kusema ni kwamba ukiamua tu kufanya mapenzi jua kwamba uwezekano wa kupata mimba upo...na kama mimba kwako ni kitu ambacho kinaweza kukupa wakati mgumu sana basi amua kutoipa nafasi hiyo mimba itokee.
Kwahiyo furahini...furahishaneni ila ikitokea mimba msilie na kulalama as if ni muujiza.
Tatizo ni kuwa sie wa long tuko kwenye reality zaidi ndo maana naona umetushika pabaya loh!! Huoni mzee mzima alianza kudai arudishiwe mahari shosti!?
tena ni mcharuko sio kidogo!.. umkute sasa anabishana.. huwa ana kigugumizi fulani hivi anakitoaga wakati wa ubishi.. basi ni burudani tosha!Mayasa huyu mdada ni mcharuko yaani huwa nikiona filamu yenye jina lake lazima niitizame mpaka mwisho . Ana visa balaa na hilo jiumbo lake mh!!
Lizzy bana.. haya kua uyaone!
Beyonce alisema hakupanga kupata mimba, lakini hakuongeza ni bahati mbaya. You know, wazazi wanaweza kumwambia mtoto ukweli (yaani, kwamba mama yake hakuwa akipanga kuwa na mtoto alipopata mimba) bila kumsababisha maumivu moyoni mwake kama wakiongeza kwamba, ingawa mtoto hakuwa amepangwa, hakuwa hatakiwi, bali amekuwa anapendwa na wazazi wake tangu siku walipojulishwa mama yake alikuwa mjauzito. It all depends on how you reveal the news.Beyonce nae eti ulimi ulimyeleza, alisema hakupanga kubeba ihii mimba yake ni bahati mbaya, nikasema hata yeye nae kioo cha jamii anaweza sema maneno mazito namna hiyo, what if mtoto akikua na kusikia hayo maneno? si atajiona yeye ni wa kibahati mbaya tu
heheh ungeuchukia nisingetembelea tena blogu yako!Kloro kwa wahusika ni formal...ila nimepemda sana mtazamo wako.
Kwasababu umenifurahisha sana nabadili msimamo...mradi tu mimba ikipatikana usikimbie!
heheh ungeuchukia nisingetembelea tena blogu yako!
Bek to topik: Lakini hivi kweli masuala ya uchumi hayachangii hii quote kweli? maana kwa wabeba maboksi wana kauli za mimba isiopangwa tu lakini mtoto akishakuzaliwa watu masherehe kibao na mtoto anapendwa kama kawa, wala huskii hizo quote za ajabu ajabu. sasa hii ya mtoto hakupangwa isije ikawa ni uzao wa CCM wajameni
Hahahaha...sasa mbona hujanipa feedback?!Au unataka nichekwe?!
Mmh hiyo ipo kote kabla ya mtoto kuzaliwa na baada kwa wengine.
Wengine mtoto anapozaliwa wanajikuta tu wanampenda kiasi kwamba yale mawazo ya bahati mbaya yanawatoka kabisa...alafu kuna wale ambao mpaka mtoto anafikisha miaka 20 bado anaweza kuambiwa kwamba hakutakikana!!
hapo red majuzi nilikupongeza katika sredi flani lakini nazani hukuona nikapotezea tu. Mbona uko juu sana aisee! Tahazali waswahili wasikuloge lol
Dah! ni ukatili mbaya sana bana kama wanafanya hivyo, Infact napenda sana watoto na nachukia kila mzembe anaesababisha mtoto kuteseka kwa namna moja au nyengine. Niko pamoja na wale ambao unplanned pregnancy inawapa usumbufu wa kimawazo lakini hawa ambao wanaelekeza mashambulizi kwa watoto kwangu mimi ni majambazi tu. To hell with their quotes
Posta yanini sasa wakati tumekubaliana nikuje personal?Hahaha asante Kloro...ila fanya mpango wa kunifikishia hiyo feedback hata kwa njia ya posta bana!!!
Yeahhh sio fair kabisa. Mzazi anaweza kuchagua kuwa mzazi ila hamna mtoto anaechagua kuzaliwa.Kwahiyo kuwashushia wao hasira na kuwalaumu kwa makosa yetu sio kabisa!