Sikupanga kuwa na mtoto...

Kwa partners wa kileo kupata mimba ni uzembe kama huhitaji.Kinga zote hizo zipo,natural na artificial.Na ukipata mimba ni mtoto tayari hivyo ni wajibu kuitunza na uzae.Vinginevyo utakuwa ni muuaji.
LIZZY ACHA KU-ADVOCATE UTOAJI MIMBA.
 
<br />
<br />
Yaani lizzy wewe kichwa kimoja ni sawa na vichwa vya wangoni 200 una akili nakupenda bure we mdada na michango kumbe umekua hivyo!? MJ1 tulia mama lizzy anapita tu mimi na wewe mileleeeeeeeeeeee!
Kama maneno yako yapo sahihi basi Lizzy kichwa chake kitakuwa sawa na vichwa vya wakwere 1000.
 
Asante sana umesema yote yafaayo.Lizzy ni rahisi kusema kwa sasa.
 
Ukiamua kuwa nae unapanga kuwa na mtoto.

Mimba inaweza kupangwa ama isipangwe..mtoto hatokei tu out of nowhere...hivyo ukiamua mwenyewe kwamba unabaki na mimba yako unakua unapanga kuwa na mtoto.
 
Yaani lizzy wewe kichwa kimoja ni sawa na vichwa vya wangoni 200 una akili nakupenda bure we mdada na michango kumbe umekua hivyo!? MJ1 tulia mama lizzy anapita tu mimi na wewe mileleeeeeeeeeeee!

Hahahaha....asante D!
Kujua tu wanipenda inatosha...endelea na mamaa MJ!
 
Nguruvi3 asante kwa tafsiri ila bado sioni umuhimu wowote wa kulebel watoto ambao sio wao waliochagua kuzaliwa katika hali ile.

Kufanya hivyo hakumfaidishi yeyote...na zaidi yaweza kumharibu mtoto kisaikolojia!
 
Kwa partners wa kileo kupata mimba ni uzembe kama huhitaji.Kinga zote hizo zipo,natural na artificial.Na ukipata mimba ni mtoto tayari hivyo ni wajibu kuitunza na uzae.Vinginevyo utakuwa ni muuaji.
LIZZY ACHA KU-ADVOCATE UTOAJI MIMBA.

Wapi ulipoona nasema watu watoe mimba?! Soma...elewa...chambua!
 
kwanza si sahihi kutumia neno mimba ya bahati mbaya au kutokutarajia ... ukiwa na mwenza na mkijamiiana na hasa bila kutumia kinga matokeo yake au matarajioni ya tendo ni kupata matunda ... sasa yaweje yawe si sahihi ???? pia hata ukiamua mwisho wa siku kuitunza mimba na kuzaa hivi huyo mtoto utakuwa unamwangalia vipi maana roho yako ilikuwa imejaa ukatili mkubwa
 
<br />
<br />

true that my sistooo
 
Wapo wanaowaangalia watoto kama maadui zao...wanaona kwamba wamewaharibia maisha na starehe zao.
 
Wewe mdada una akili sana!!!
hakuna mtu alie kuja duniani kwa bahati mbaya

Maana hata bible inasema Mungu alitufahamu hata kabla hatujazaliwa

Wapo wanaowaangalia watoto kama maadui zao...wanaona kwamba wamewaharibia maisha na starehe zao.

usimhukumu mtoto kana kwamba alielewa ulichokifanya mzazi ... cku zote watoto wanakuwa wahanga na historia ya kupatikana kwao ... na watoto wanahukumiwa kutokana na uelewa na kupenda mambo yaliyo nje ya nafasi zetu kwa wakati huo ... kinachotakiwa ni wewe kujipanga kulingana na kilanga ulichoanzisha
 
mara nyingi baada ya kujifungua,wanawake wanapoteza normal timetable yao ya menstruation,so anaweza jikuta kapata mimba tena soon baada ya kuzaa pasipo yeye kupanga kuwa na mtoto,kama huyo mwanamke atakuwa ameolewa,inawawia ngumukufanya abortion,hivyo kujikuta wanalalamika kuwa hawajapanga kuwa na mtoto at that time,
 
Napenda kuweka mchango wangu kwenye hoja hiiii, Nilipokuwa nasoma nakumbuka mwalimu wangu wa sayansi akitufundisha " In every Action, there must be a Reaction" yaani kwa kila kitu unachofanya lazima kuna matokeo. Inakuaje Karne ya Leo Binti kasoma na ana anaelewa maisha ni nini, anaruka peku peku (akijua kinga ziko) alafu....... Hamadi!!!!!, kumbe ilikuwa hivi!, nasema Binti kwa sababu, vijogoo wao kazi ni kutupa mbegu, hawataki kujua zitamea ama laa. Haya basi mtu kapata mtoto bila kupanga, afadhali, jee kama kapewa Umeme???, Jamani tuamkee!!!!!!!
 
Na ni wakati gani sio rahisi kusema?!

Ni pale unapokuwa ndani ya ndoa na unagundua tayari una mimba na kwa sababu moja nyingine unashindwa hata kufikiria kuitoa.
 
Ukiamua kuwa nae unapanga kuwa na mtoto.

Mimba inaweza kupangwa ama isipangwe..mtoto hatokei tu out of nowhere...hivyo ukiamua mwenyewe kwamba unabaki na mimba yako unakua unapanga kuwa na mtoto.

Kwa partners wa kileo kupata mimba ni uzembe kama huhitaji.Kinga zote hizo zipo,natural na artificial.Na ukipata mimba ni mtoto tayari hivyo ni wajibu kuitunza na uzae.Vinginevyo utakuwa ni muuaji.
LIZZY ACHA KU-ADVOCATE UTOAJI MIMBA.

Lizzy nimekubali mchango wako; yaweza pia kuwa ni njia ya kujifunza. Vyovyote iwavyo una justify abortion (though umetumia kiswahili kirefu sana kukwepa kuliweka wazi hili) kwamba wenzi wana maamuzi juu ya kiumbe akibebacho, huku uki propose zaidi option ya 'mtoto wa kupangwa ama la'; katika dunia na mazingira ya leo wanadamu tuna prefer zaidi kufanya mambo katika uhuru na kuondoka na primitive/conservative idiology za God-fearing society ... hili linakuwa advocated sana through mordern media channels. Lakini pia malezi na exposure vina influence sana haya mambo ... ni jambo la kawaida kwa wenzetu lkn pia taratibu linaingia katika tamaduni zetu. Lakini pia ni ngumu sana kulizungumzia hili bila ku-declare interest katika imani yako ... kama unaamini kuna Mungu au lah! Ni vizuri kufanya kila kitu kwa kipimo chake wandugu, we might really want to be liberal and get-out of Godly / religous chains lkn twendeni taratibu jamani ... tuupe utu na ubainaadamu nafasi yake pia!

Mwenyezi Mungu awarehemu watoto wote walio katwa katwa vipande wakiwa tumboni mwa mama zao (kwa ushirikiano na baba zao) na hivyo kukosa nafasi ya kupumua hata pumzi ya sekunde moja hapa duniani ... kisa ... mtoto huyu hakupangwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…