Tunarudi pale pale kwenye kua mwangalifu...hicho ni kitu ambacho kiko ndani ya uwezo wetu ila tunajifanya hatujali mpaka pale inapotokea. Kama mke na mume wote wamekubaliana hawataki mtoto basi watumie kinga.
kwa jinsi ninavyoelewa huwezi ukakutana na mwanaume /mke kwa kipindi cha week mbili mnalala na kuamka pamoja na siku zote mkatumia kinga sidhani kama kuna watu wana ujasiri huo ... kwani wataanza japo kimoja mara kinazaa kingine mara wanasahau
Basi wakose na ujasiri wa kuwalaumu watoto na kuwatreat vibaya pale wanapozaliwa!!
Swala sio kula nyama kwa nyama, swala kwamba je siku husika inafaa kula nyama kwa nyama? na kama haifai ni kwa nini msitumie condomu? Hujiulizi ni kwa nini mamodel hawapati mimba? je unadhani hawana kizazi, au unadhani hawatiwi?kwa jinsi ninavyoelewa huwezi ukakutana na mwanaume /mke kwa kipindi cha week mbili mnalala na kuamka pamoja na siku zote mkatumia kinga sidhani kama kuna watu wana ujasiri huo ... kwani wataanza japo kimoja mara kinazaa kingine mara wanasahau
Swala sio kula nyama kwa nyama, swala kwamba je siku husika inafaa kula nyama kwa nyama? na kama haifai ni kwa nini msitumie condomu? Hujiulizi ni kwa nini mamodel hawapati mimba? je unadhani hawana kizazi, au unadhani hawatiwi?
Wao wanajitambuwa kwamba mimba kabla ya wakati aliopanga ni kujialibia mambo yake. kumbuka sio jukumu la mwanamume kujuwa kwamba leo mwanamke yupo kwenye period gani mwanaume anachotaka ni bupa. kama mwanamke anajijuwa yupo kwenye siku mbaya inabidi akanunuwe condom yeye mwenyewe kabla ya kukutana na mwanaume, lakini ukiwauliza watu wa phamacy je kuna mwanamke aliwahi kuja kununuwa condom watakwambia kondom huwa wananunuwa wanamume tu.
Na kuna ujinga mwingine wa wanawake anajuwa kabisa kwamba yupo kwenye siku mbaya anakwambia umpige mashine halafu upizi nje! nani anakudanganya kwamba mimba inahitaji kikombe kzima cha kahawa ndio inase!!?
Kwa uelewa wangu, miscarriage inatokea ('haifanyiki'), hivyo naamini sio kweli kwamba mtu anaweza kuamua/kupanga kuwapo kwa miscarriage ama la.What I meant was ..mtu anaweza akapata miscarriage....japo sio yeye anaefanya iwe hivyo bado inafanyika
...Kuhusu kupanga tunarudi pale pale kwenye knowledge. Wengi wetu tunajua sana matokeo ya sex...mtu anapoamua kufanya mapenzi bila kuwa mwangalifu tayari anajua kwamba anaweza akapata mimba na bado anaendelea kufanya vile. Kitendo hicho ni kielelezo tosha kwamba alipanga (japo anajifanya hataki kuwa na mtoto/hakutaka kupata mimba!
...Hujiulizi ni kwa nini mamodel hawapati mimba? je unadhani hawana kizazi, au unadhani hawatiwi?..
Kuna assumption kubwa kweli umeifanya hapa! Kama mimba zote zinazotolewa zingekuwa na uwezo wa kushitaki....hao unaowaita ma model ni wachache sana wange simama mbele za watu!
Sidhani kama lizzy anamaanisha kuzuia mimba hapa bali.Madabwada inawezeka mimi na Lizzy tukawa tumeongea kitu kimoja lakini katika Lugha tofauti,.....nakushauri na wewe usome upya uzi wa Lizzy uone maudhui ya lugha yake, ndio maana mimi nimeamuwa kutoa ufafanuzi katika lugha nyepesi lakini ikiwa imebeba mantiki mbadala kwamba kupata mimba zisizotarajiwa ni uzembe wa mwanamke,.........nilitalajia kama ni chalenge ungechalenge hapo.
Narudia tena kusema, mimba zisizotaljiwa ni uzembe wa mwanamke kwa sababu anazijuwa siku zake vyema, na kondomu kazi yake sio kuzuia maambukizi ya ukimwi bali kazi kuu ya kondomu ni kuzuia hizi mimba zisizotalajiwa.
Sidhani kama lizzy anamaanisha kuzuia mimba hapa bali.
Nilivyoelewa mimi yaana upata mimba then unazaa halafu unadai hukupenda kuwa na mtoto kwa wakati ule!
Ukiamua kuwa nae unapanga kuwa na mtoto.
Mimba inaweza kupangwa ama isipangwe..mtoto hatokei tu out of nowhere...hivyo ukiamua mwenyewe kwamba unabaki na mimba yako unakua unapanga kuwa na mtoto.
Sikubali na kauli hii maana kutokutumia kondomu sio kitu pekee kinachoweza kumfanya mwanamke apate mimba isiyopangwa.hakuna mimba ya bahati mbaya bali ni uzembe wa wanawake.
Na mwenye uwezo wa kumsababisha mwanamke apate mimba ni mwanaume, basi nafikiri masuala haya yanamhusu. Kwa sababu mizunguko ya wanawake si always regular, inawezekana kabisa mwanamke hajui ni stage gani hasa aliyopo katika mzunguko wake. Ndio maana ni bora kwa wanaotaka kupunguza uwezekano wa kupata mimba isiyotarajiwa watumie kinga mara zote. Kama mke wa mwanaume akipata mimba bila kupanga, badala ya kumlaumu mwanaumke tu, mwanaume pia alaumiwe kwani hakuwa akivaa kondomu alipofanya tendo la ndoa (unless mwanamke alimdanganya akisema wako safe wakati hawako kabisa).Mwanamume hausiki na maswala ya mimba hapa ni lazima ieleweke, mwenye uwezo wa kupokea au kutokupata mimba ni mwanamke, huu ndio ukweli wenyewe.
And who says that? Kama mwanaume anataka kuwa na uhakika zaidi mimba haitapatikana, anaweza kumwuliza mke wake kuhusu mzunguko wake ili aweze kumkumbusha kama mke akisahau. Yeye ndiye atakayekuwa baba ya yule mtoto asiyetakiwa kama mimba ikipatikana bila kupanga, basi ni jukumu yake pia kufanya chochote awezacho asikutane na hali hii ya kuwa na mtoto asiyetakiwa.Kumbuka sio jukumu la mwanamume kujuwa kwamba leo mwanamke yupo kwenye period gani
Wewe somo la Biology limekupita kushoto, haihitajiki kuwa na degree kujuwa kwamba mwanamke ana siku zake za kupata mimba na hata mimba ya mtoto wa kiume ina siku zake maalum. au hujui maana ya x na y? wewe wa wapi?Sikubali na kauli hii maana kutokutumia kondomu sio kitu pekee kinachoweza kumfanya mwanamke apate mimba isiyopangwa. Na mwenye uwezo wa kumsababisha mwanamke apate mimba ni mwanaume, basi nafikiri masuala haya yanamhusu. Maadam mizunguko ya wanawake si always regular, inawezekana kabisa mwanamke hajui ni stage gani hasa aliyopo katika mzunguko wake. Ndio maana ni bora kwa wanaotaka kupunguza uwezekano wa kupata mimba isiyotarajiwa watumie kinga mara zote. Kama mke wa mwanaume akipata mimba bila kupanga, badala ya kumlaumu mwanaumke tu, mwanaume pia alaumiwe kwani hakuwa akivaa kondomu alipofanya tendo la ndoa (unless mwanamke alimdanganya akisema wako safe wakati hawako kabisa). On a side note: Kondomu haina "kazi kuu", kuzuia maradhi na mimba yote mbili ni kazi yake.
Kwani niliipinga kauli iliyo kwenye bold katika post yangu? Uninukuu basi maana sioni lini au wapi nilipofanya hivi. Nilichosema ni kwamba mizunguko ya mwanamke si regular siku zote, kwa hiyo mwanamke anaweza kusuppose ni lini fertility period yake itaanza (kwa kutumia the calender method for example), lakini hawezi kujua akiwa na uhakika wa asilimia 100. Ndio sababu method hiyo ina failure rate. Na ndio maana nikasema, kwa sababu wapenzi wawili hubeba jukumu ya kuzuia mimba isiyopangwa, mume anapaswa kuvaa kondomu kuongeza uwezekano wa mke yake kutopata mimba. Ikiwa akichagua pleasure over security kwa kutokuvaa kondomu, alaumiwe pia basi kwani kuna uwezekano mimba isingalipatikana kama asingalifanya uamuzi huo.Wewe somo la Biology limekupita kushoto, haihitajiki kuwa na degree kujuwa kwamba mwanamke ana siku zake za kupata mimba na hata mimba ya mtoto wa kiume ina siku zake maalum. au hujui maana ya x na y? wewe wa wapi?