Duh! Pole sanaMimi sijasoma KWA MKOPO wala sijawah omba MKOPO elimu ya juu#HESLB
Nakwatwa pesa na nimeorodheshwa katika ORODHA ya wanufaika,ajabu hawana hata detail zangu za elimu yangu!
Nilifika ofisi kwao walinijibu kuwa walichanganya majina, so niingie kwenye mfumo wao wanirefund pesa yangu wasitishe makato
Ajabu mwezi uliofuata wamekata tena na kuongeza makato zaidi[emoji3]
Hivi nipo kwenye mchakato nimefungua kesi!!!kupinga huu upuuzi!
Kushtaki serikali au taasisi yake Notisi ni siku 90Waandikie demand note ya siku 30 ya kusudio la kuwashtaki mahakamani, nakala peleka Takukuru, mwanasheria mkuu wa Serikali, Wakili mkuu wa serikali na kwa DCI.
Ongea na Wakili akuandikie atakuchaji pesa kidogo tu ya shoeshine.
Kuna vitu Bongo bila kuchukuwa hatua watakutia mpaka madole unawachekea tu.
Cha msingi, awalime kusudio la kuwashtaki na kwa kuwa legal document inaandaliwa na advocate anajuwa vizuri kisheria ni siku 90.Kushtaki serikali au taasisi yake Notisi ni siku 90
Labda wanataka usaidie wadogo zako, si unajua tena watanzania wote ni ndugu?Mimi sijasoma KWA MKOPO wala sijawah omba MKOPO elimu ya juu#HESLB
Nakwatwa pesa na nimeorodheshwa katika ORODHA ya wanufaika,ajabu hawana hata detail zangu za elimu yangu!
Nilifika ofisi kwao walinijibu kuwa walichanganya majina, so niingie kwenye mfumo wao wanirefund pesa yangu wasitishe makato
Ajabu mwezi uliofuata wamekata tena na kuongeza makato zaidi😀
Hivi nipo kwenye mchakato nimefungua kesi!!!kupinga huu upuuzi!
Kuna watu wanakua na mambo ya ajabu sana. Kuna wengi wana vilio vya aina hii.Waandikie demand note ya siku 30 ya kusudio la kuwashtaki mahakamani, nakala peleka Takukuru, mwanasheria mkuu wa Serikali, Wakili mkuu wa serikali na kwa DCI.
Ongea na Wakili akuandikie atakuchaji pesa kidogo tu ya shoeshine.
Kuna vitu Bongo bila kuchukuwa hatua watakutia mpaka madole unawachekea tu.
Ni kweli mkuu, ila sio kuwa mawakili wote wanajua hilo takwa la siku 90. Nilikuwa nafanya kazi serikalini, nilishuhudia notisi nyingi zilizoandaliwa na mawakili lakini kwa kukosea muda wa kisheria wa kusudio la kushtaki. Nimeitoa kama angalizo ili alizingatie.Cha msingi, awalime kusudio la kuwashtaki na kwa kuwa legal document inaandaliwa na advocate anajuwa vizuri kisheria ni siku 90.
😂😂😂Labda wanataka usaidie wadogo zako, si unajua tena watanzania wote ni ndugu?