Sikutegemea hakika nimekoma ni majuto 70% furaha 10%

Haihusiani na usafi mara nyingi, ni Matatizo mengine, ingekuwa ni harufu ya uchafu inaelekezeka!
Hapo inawezekana ni Ugonjwa labda,.
Na inakuwaje mtu unakuwa hujui kama unaumwa? Hadi unafikia hatua ya kutoa harufu means hata ukivua nguo zako huziskii Zina utofauti ??
 
Acha utoto, nani alikwambia ukimpa dem mimba ni lazima umuoe?

unakaribia 3rd floor ila umejaza utoto tu akilini
 
Hapo inawezekana ni Ugonjwa labda,.
Na inakuwaje mtu unakuwa hujui kama unaumwa? Hadi unafikia hatua ya kutoa harufu means hata ukivua nguo zako huziskii Zina utofauti ??
Wengi hawatambui mkuu. Hivi unajua hata majumbani kwetu kuna kale kaharufu pasono, ambako mgeni tu ndio anakuwa anakadetermine, ila wahusika wanapeta tu
 
kaka
mkuu ujana maji ya moto,si unajua kichwa cha chini kikishapata moto,cha juu hakifanyag kaz😂😂
 
Acha utoto, nani alikwambia ukimpa dem mimba ni lazima umuoe?

unakaribia 3rd floor ila umejaza utoto tu akilini
urahisi wa kulea mtoto mkuu,mtoto anahitaji alelewa na baba na mama,sada akilelewa na mama pekee unadhani tutapata kizaz cha namna gan,it's just am mercing her mother
 
Wengi hawatambui mkuu. Hivi unajua hata majumbani kwetu kuna kale kaharufu pasono, ambako mgeni tu ndio anakuwa anakadetermine, ila wahusika wanapeta tu
Yeah ni kweli,.
Ila kwenye suala la ugonjwa au homa hasa kwenye via vya uzazi mtu inabidi awe makini sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…