Sikutegemea huyu mdada?

Kaka hata ungekuwa wewe ungesemaje? na jamaa walikuwa eti wanamuita shem......sema ndio niliona niwe mvumilivu tu
dah! nakulaumu sana mwana...kitu unayo geto,sita kwa sita halafu inaondoka hujaichapa? aaaah...we sio mwana...ndo maana kingston unawaongopea umechapa..manake ungewapa ukweli wana wangekutenga!
 


Bwana Zipuwawa, alichofanya huyo dada ni sahihi kabisa, kwani mlikuwa na makubaliano yoyote kabla hajafika hapo kwako?

Lakini pia inawezekana alikuwa antaka "ku-create impression" kwamba yeye ni mgumu fulani na mashine yake hailambwi hovyohovyo, kwa uzoefu, mwanamke mpaka aweze kubana mzigo kwa siku 3 na mnalala kitanda kimoja lazima awe mtu ambaye amezoea sana viungo vya uzazi vya wanaume.....anyway, siku mtu akikunyima K anakuepushia matatizo mengi kwahiyo mkuu usi-mind sana.

By the way, naona alikuwa anakuanda kupambana na ukame manake nakumbuka siku kadhaa umeposti topic "MWAKA MZIMA KAVUKAVU" .
 
Tanga?........ Ungejaribu tIGO labda ndo line anayotumia!
 

Ulifanya vema sana,tena ungejua usingeomba kabisa!huwa inajenga imani nakuongeza upendo.
 
By the way, naona alikuwa anakuanda kupambana na ukame manake nakumbuka siku kadhaa umeposti topic "MWAKA MZIMA KAVUKAVU" .

Ni kweli sasa hivi nimeona niwe mgumu tu
 
Lakini kwanini asingeniambia nimchukulie nyumba ya wageni tu kuliko kulala nae kitanda kimoja?

labda alitaka kusikia joto lako
labda alaitaka kukupim a uvumilivu,busara,hekima na ustahimilivu wako
alitaka kukupima uanaume wako
ITS REAL GUD KULALA NA MTU BILA KUMPA THEN SIKU NYINGNE ASIYOITEGEMEA NDO UNAMPA...just kamtihan fulan ivi for some gals....shurut upimwe kdg siyo kurupukutu ndan..ahh aipendez km ulikuwa na hamu ya ku do fasta fasta asi ungeshika wa kindoni...!!!
afu wanaume wengne wana vilema sikuiz lazima upime kwanza vtendea kaz isije ikawa....ukatoka nduki na BAADHI ya nguo mkonon...!!!!!!
NAS HUENDA ALIKUWA HAJISIKII KUKUPA/HAUJAMVUTIA KIMAPENZ ...ata mademu pia tunatest zetu kuna wanaume wengne bariiid wala hawavutiii ..ukimfikiria kitandan unaona ahhh uyu atanileteqa usumbufu tu lakin wengne ukiwaona unaona yap apa kaz itakwepo ata km ukienda ukakuta kazi neh bt ata list ulijiridhsha mwanzon....
 
Zipuwawa kiasi utakuwa umekosea kabla na baada ya hiyo incident.

Kwanza hukutakiwa kulazimisha msaliboko. Pili ulitakiwa kuplay down the whole incident yote.

Next time in ur conservation don't talk to her anything about that incident. Just sound positive and talk about anything in life other than love. If interested in U she will bring up the subject and that should work in your favour.
 
Hakukufeel my friend. Au hukuwa na mbinu. Tatizo ulikuwa straight sana kwenye mechi.
 
Sidhani kama swala na kutovutiwa kwa mapenzi linaweza kuwa kigezo cha siku hiyo kukosa kuchakachua!
 
Okay i will do so next time.................
 
Bado kiwango chako cha uzinzi kipo chini, yaani unataka mtu akija kulala kwako tu unaua!! naogopa mpwa, hivi kwani mlishazungumza before kua akija utaua? be open and specific!! sema njoo lakini ukija tutalima na kupalilia au tutaenda kuangalia shamba tu!! kwani huwezi kwenda kuangalia shamba bila kulima? mmhh haya, next time naomba sana uwe muwazi, mwambie kama unakuja itakua hivi au vile usimwambie njoo halafu tutajua hukuhuku, siku hizi nao wajanja, hata jogoo anamwendea kuku kwa timing!!
 
Ndio maana nawambia sikuamini kilicho nitokea!
Anacheka kwa sababu anakuona zoba...kumbuka kuna watu mpaka wachaniwe nanihii ndio watoe dem..sasa kama we hujui yeye huko aliko anakushangaa..
 
ha ha aha ha Te te te te Basi nitajitahidi niwe nacha chupi kabisa
Anacheka kwa sababu anakuona zoba...kumbuka kuna watu mpaka wachaniwe nanihii ndio watoe dem..sasa kama we hujui yeye huko aliko anakushangaa..
 
shukuru mungu labda mungu kakuepusha na ugonjwa wa mjini (umeme)
 
Vipi ungemega hafu akakwambia ana WMD siku ya kuondoka ingekuwaje? Shukuru Mungu labda umesevu soo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…