Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hii kesi ya ulawiti ya Dkt Nawanda imeleta sintofahamu kubwa sana kama ukiyatazama mambo ya ulawiti na ushoga kwa jicho pana zaidi.
Watanzania karibia 99% ni watu wanaopinga sana ushoga, jambo la kushangaza katika maoni ya watu kwenye kesi ya kulawitiwa binti Tumsiime na aliyekuwa RC wa Simuyu Dkt Nawanda raia wamegawanyika nusu kwa nusu, pia kuna kundi kubwa sana linalomkejeli huyo binti.
Kuna wanaomlaani huyo binti kwamba ametumika kisiasa, kuna wanaosema huo ni mchezo wa huyo binti, kuna wanaolaani binti mdogo kujihusisha kimapenzi na mzee.
Pia soma