Open school
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 1,158
- 1,746
Laki saba kwa mkataba wa miezi sita au ni mwezi mmoja tu?frem zipo hapo kwa Sauli wanaita saba saba laki sita tuu...mtaa wa nywere na vipodozi na hilo jengo linatizamana na bigbon laki saba mbele hapo...
mkuu kkoo hakuna mkataba wa mwezi...mwaka wewe ndio unaomba ulipe miezi sita na sio hawamu ya kwanza..hawamu ya kwanza ni mwaka vyumba vipo ni wewe unataka kufanya biashara gani kutana na wahusika wenyewe ili usitajiwe kodi ambayo haipo...yaani ya juu sana..Laki saba kwa mkataba wa miezi sita au ni mwezi mmoja tu?
Toa bei mkuu.Mkuu njoo nikuuzie ya kwangu hipo mchikichi/ manyema karibu na jingo la simba
Mkuu umeghairi tena mambo ya ughaibuni umeamua utafute fremu ufanye biashara?Toa bei mkuu.
Mkuu usikariri,si lazima iwetni mimi nahitaji.Mkuu umeghairi tena mambo ya ughaibuni umeamua utafute fremu ufanye biashara?
PoleKama na wewe ulikuwa hujui, ngoja nikujuze!
Katika kumsindikiza rafiki yangu mgeni; mfanya biashara toka Dubai, Ambaye anataka kuweka duka moja la vifaa na simu kariakoo; Tulibahatika kupita sehemu kadhaa tukitafta fremu kupitia kwa madalali, Fremu za biashara ziko juu sana hadi ($3000-$6000) kwa mwezi na lazima malipo huwa ni kwa mwaka au miezi sita, na wenye nyumba/majengo wanapangisha kwa kuringa vibaya!
Na kuna baadhi ya mmiliki mmoja jirani ambaye tayari yeye anabiashara pale alisema hizo bei huwa zinapanda kila mara na pengine watu wengine hufanya fitina kwa wenzao ili wafukuzwe; Cha ajabu baadhi ya wamiliki hata kama hakudai ikitokea katikati akiomba umkopeshe pesa ni sharti umpatie vinginevyo utakuwa hatarini kutokupangishwa tena mkataba wako unapoisha.
Kusema ukweli hatukufanikiwa ikabidi tughairi tukatafte sehemu nyingine mbali na kariakoo, maana gharama ni kubwa sana halafu isitoshe Biashara ya simu ni ngumu sana kariakoo kwa mujibu wa maelezo ya wenyeji kwa kuwa fremu nyingi sasa wengi zinawashinda wanazirudisha.
Kwa akili yangu mwenzenu mwanzo nilijuwa labda ni Tsh milion moja na nusu kwa mwezi, au milion ama laki nane kwa mwezi, kumbe hizo ni bei za mwezi mmoja tu ndani ya fremu husika.
Kwani anayeuziwa bidhaa ni mfanyabiashara au mteja? Sasa unashangaa mteja kukosa smartphone? Mfanyabiashara ana smartphone, mteja hana, hiyo biashara inafanyikaje?Sasa kama mtu anashindwa kuwa na iyo smartphone awezi kumiriki biashara kariakoo
Unless awe ajui technology na education
Ha ha haaaKwani anayeuziwa bidhaa ni mfanyabiashara au mteja? Sasa unashangaa mteja kukosa smartphone? Mfanyabiashara ana smartphone, mteja hana, hiyo biashara inafanyikaje?
Hahahahaa,aisee umenichekesha kweli mkuu.Frem za nini siku hizi wakati kuna instagram??
Ila hao wenye fremu wanalipa kodi kiasi gani serikalini? Nimejiuliza tu isiwe ndiyo mabingwa wakukwepa kodi!Kama na wewe ulikuwa hujui, ngoja nikujuze!
Katika kumsindikiza rafiki yangu mgeni; mfanya biashara toka Dubai, Ambaye anataka kuweka duka moja la vifaa na simu kariakoo; Tulibahatika kupita sehemu kadhaa tukitafta fremu kupitia kwa madalali, Fremu za biashara ziko juu sana hadi ($3000-$6000) kwa mwezi na lazima malipo huwa ni kwa mwaka au miezi sita, na wenye nyumba/majengo wanapangisha kwa kuringa vibaya!
Na kuna baadhi ya mmiliki mmoja jirani ambaye tayari yeye anabiashara pale alisema hizo bei huwa zinapanda kila mara na pengine watu wengine hufanya fitina kwa wenzao ili wafukuzwe; Cha ajabu baadhi ya wamiliki hata kama hakudai ikitokea katikati akiomba umkopeshe pesa ni sharti umpatie vinginevyo utakuwa hatarini kutokupangishwa tena mkataba wako unapoisha.
Kusema ukweli hatukufanikiwa ikabidi tughairi tukatafte sehemu nyingine mbali na kariakoo, maana gharama ni kubwa sana halafu isitoshe Biashara ya simu ni ngumu sana kariakoo kwa mujibu wa maelezo ya wenyeji kwa kuwa fremu nyingi sasa wengi zinawashinda wanazirudisha.
Kwa akili yangu mwenzenu mwanzo nilijuwa labda ni Tsh milion moja na nusu kwa mwezi, au milion ama laki nane kwa mwezi, kumbe hizo ni bei za mwezi mmoja tu ndani ya fremu husika.
frem zipo hapo kwa Sauli wanaita saba saba laki sita tuu...mtaa wa nywere na vipodozi na hilo jengo linatizamana na bigbon laki saba mbele hapo...