neno ni upanga
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 494
- 1,656
Badala wapeleke maji wamepeleka viwanja vya mpira😀😀😀Habari wakuu! Yaani kuna vyitu vingine vinatafakarisha sana! Dodoma ni makao makuu ya nchi lakini mpaka leo maji ni shida yaani ni mgao na siku za mgao huo maji yanatoka kwa matone jamani sehemu zingine ndo kabisa hayatoki! Nafikiri kama taifa hatuko serious! Hizo hela za magoli tuzielekeze huku! Makao makuu sio ya kukosa maji jamani! CCM kwa hili mjitafakari
Miji yenye mitazamo ya kisiasa ni janga.Habari wakuu! Yaani kuna vyitu vingine vinatafakarisha sana! Dodoma ni makao makuu ya nchi lakini mpaka leo maji ni shida yaani ni mgao na siku za mgao huo maji yanatoka kwa matone jamani sehemu zingine ndo kabisa hayatoki! Nafikiri kama taifa hatuko serious! Hizo hela za magoli tuzielekeze huku! Makao makuu sio ya kukosa maji jamani! CCM kwa hili mjitafakari
Sera ya Magufuli ilikuwa kuligeuza jangwa la Dodoma kijani.Habari wakuu! Yaani kuna vyitu vingine vinatafakarisha sana! Dodoma ni makao makuu ya nchi lakini mpaka leo maji ni shida yaani ni mgao na siku za mgao huo maji yanatoka kwa matone jamani sehemu zingine ndo kabisa hayatoki! Nafikiri kama taifa hatuko serious! Hizo hela za magoli tuzielekeze huku! Makao makuu sio ya kukosa maji jamani! CCM kwa hili mjitafakari
Ili kuitendea haki mada yako, tuambie eneo gani la Dodoma. Area A, C, D, E, Makole, Majengo, msalato Iringa road, Kisasa au ? Dodoma ninaambiwa na mwenyeji wangu ni mji wenye maji ya kutosha japo ya chumvi.Habari wakuu! Yaani kuna vyitu vingine vinatafakarisha sana! Dodoma ni makao makuu ya nchi lakini mpaka leo maji ni shida yaani ni mgao na siku za mgao huo maji yanatoka kwa matone jamani sehemu zingine ndo kabisa hayatoki! Nafikiri kama taifa hatuko serious! Hizo hela za magoli tuzielekeze huku! Makao makuu sio ya kukosa maji jamani! CCM kwa hili mjitafakari
Dodoma kame,mara ya mwisho kuwa hapo November, hapakua na shida ya maji,labda washauri sehemu ya kHabari wakuu! Yaani kuna vyitu vingine vinatafakarisha sana! Dodoma ni makao makuu ya nchi lakini mpaka leo maji ni shida yaani ni mgao na siku za mgao huo maji yanatoka kwa matone jamani sehemu zingine ndo kabisa hayatoki! Nafikiri kama taifa hatuko serious! Hizo hela za magoli tuzielekeze huku! Makao makuu sio ya kukosa maji jamani! CCM kwa hili mjitafakari
Dodoma ni semi desert, maji ni kipengele mzee baba. Karibu dodomaHabari wakuu! Yaani kuna vyitu vingine vinatafakarisha sana! Dodoma ni makao makuu ya nchi lakini mpaka leo maji ni shida yaani ni mgao na siku za mgao huo maji yanatoka kwa matone jamani sehemu zingine ndo kabisa hayatoki! Nafikiri kama taifa hatuko serious! Hizo hela za magoli tuzielekeze huku! Makao makuu sio ya kukosa maji jamani! CCM kwa hili mjitafakari