makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Sasa anachukua baba, yeye ndio muolewaji? 😂🤣Sasa mkuu mila unalinganisha na imani ya dini? Usukumani mahari ni ya baba! Ndiyo maana huwa kuna utaratibu wa kwenda "kuloma mpango!" Mzee anachagua wazee wenzake wanaenda ku-bargain mahari! Siku moja nikasakiziwa vijana wa Kiha kwenda kuwatetea kwenye mahari vizee vya Kisukuma vikang'ang'ania 5m, vijana wa Kiha wakakata tamaa ya kupata binti wa Kisukuma! Mwisho wa siku tukayamaliza pamoja na vutankuvute!
Good 😀Kuna siku tulikwenda kumuwakilisha dogo kwenye kutoa mahari, Kuna kiasi elekezi tulichoambiwa, kufika ukweni kabla ya kula tukaingia kufanya negotiations kwanza. Wakwe wakatuona labda tuna pesa Sana wakapandisha kila kitu zaidi ya Mara nne kupunguza wamegoma. Sisi tukasema hebu tutoke nje tukatete halafu tunarudi kutoa mrejesho. Ile kutoka nje tukampigia muoaji simu kwamba Mambo huku si Mambo. Dogo akasema, Wala msirudi kuaga ingieni kwenye gari rudini acha wale chakula Chao wenyewe na Mimi nambwaga binti Yao. Kwani tutakutana nao wapi sisi kila mtu anatokea mkoa wake. Ndio ikawa binti arudi sokoni Tena kutafuta mchumba mwingine.
Kumbe paipu zina rangi zaidi ya black na white? Hahahaaa 🤣 🤣 🤣 🤣 😊 mepitwaaUsimuache bila kumshirikisha binti, mwambie wazee wake wameenda nje ya alichoahidi hivyo mchongo uishie hapo.
Ila hizi mambo za mahari zinawaumiza sana watoto wa kike.
Unakuta mwanamke umri unaenda, keshapigwa na pipe za kila rangi.
Kampata kanyaboya mmoja ili walau aolewe sasa, wazazi wanaleta miyeyusho as if ni bikra. Mwisho mpaka kanyaboya anastuka anatoka nduki.
Mara paap 32 yrs hii hapa na chalii mbili kazalia home.
Mpigie mimba afu jikaushe, watamfukuza home wenyewe zen unampata free.Wakuu habari za muda huu.
Kijana wenu nina umri wa miaka 28. Baada ya kuona kwamba sasa yanifaa kuwa na mwenzangu wa kuishi nae basi nikachukua jukumu la kwenda kwao kujitambulisha na kufahamika rasmi ili basi niishi nae kihalali kabsa
Kipato changu sio kikubwa sana hvo nikawa nimejiwekea kias flan kama mahari (million 1) nikamwambia mwenzangu kwamba hima hima kaongee na mama kama ataweza kuongea na mzee bc mahari isizidi hapo.
Mwenzang akanifata na kunijulisha kwamba mzee amekubal lkn anaomba angalau basi iwe 1.5 ili waweze kugawana nyumban na baadhi ya ndugu kwakuwa natambua kwamba mahari huwa haiishi (baada ya kuelezwa na wakubwa wangu) bc nilikubali kulipa hyo 1.5 lkn kwa malipo ya kidogo kidogom.
Jana kwa neema ya Mungu ndugu na familia yangu wakaongozana hadi kwao na mwenzang kwa ajili ya kutoa kishika uchumba na pia kulipa nusu ya mahali tuliyokubaliana. Baada ya kufika huko ndugu zangu hawakuamin walichokutana nacho huko ambacho ht mm mpk sasa siamin bado.
Mahari wamekuta ni million 4 na mahitaji kama koti la babu na vitu vingine jumla million 2 yan TOTAL ni million 6.
Kwa bahati mbaya sikuwepo ila laiti kama ningekuwepo bc ningewaomba ndugu zangu turudi nyumban
Nimesikitishwa sana na kilichotokea jana japo ndugu wamenishauri nisioneshe nia ya kukataa kuendelea na binti huyo lakini naona kabisa sitoweza najiona nikimuacha na kuendelea na maisha yangu
Ukweni wamenionesha rangi halisi kwamba kwao pesa ndio kipaumbele kikubwa kulko upendo.
Roho imeniuma sana nimejitoa vitu vingi sana ukweni kabla ya cku ya jana malipo yake ni mahari ya kukomoana kiasi hiki.
Wakuu naombeni faraja zenu na ushauri wenu nifanye nini katika swala hili.
Natanguliza shukran🙏
Oa ukaharibike chizi wewe , achana na huo ushetani wa kuoaWakuu habari za muda huu.

Yaani unataka utoe mahari halafu binti aje nayo tena kwako muifaudu? Hiyo kitu haipo hivyo mkuu! Kwa mila za Kisukuma ilikuwa binti akiolewa mahari hiyo hiyo ndiyo itamsaidia kaka kwenda kuolea. Kwa hiyo ilikuwa inazunguka hivyo! Na hii ilikuwa inaleta chuki sana kati ya shangazi na mawifi! Vishangazi vilikuwa vinataka kuwapanda kichwani mama zetu kisa eti kaletwa pale kwa ng'ombe za kenyewe kalipoolewa!!Sasa anachukua baba, yeye ndio muolewaji? 😂🤣
Ili aje muungane kwenye kupakuliwa dawasco?Oa ukaharibike chizi wewe , achana na huo ushetani wa kuoa
Wake zenu wanawapiga madole usiku mbwa nyieIli aje muungane kwenye kupakuliwa dawasco?
Wakuu habari za muda huu.
Kijana wenu nina umri wa miaka 28. Baada ya kuona kwamba sasa yanifaa kuwa na mwenzangu wa kuishi nae basi nikachukua jukumu la kwenda kwao kujitambulisha na kufahamika rasmi ili basi niishi nae kihalali kabsa
Kipato changu sio kikubwa sana hvo nikawa nimejiwekea kias flan kama mahari (million 1) nikamwambia mwenzangu kwamba hima hima kaongee na mama kama ataweza kuongea na mzee bc mahari isizidi hapo.
Mwenzang akanifata na kunijulisha kwamba mzee amekubal lkn anaomba angalau basi iwe 1.5 ili waweze kugawana nyumban na baadhi ya ndugu kwakuwa natambua kwamba mahari huwa haiishi (baada ya kuelezwa na wakubwa wangu) bc nilikubali kulipa hyo 1.5 lkn kwa malipo ya kidogo kidogom.
Jana kwa neema ya Mungu ndugu na familia yangu wakaongozana hadi kwao na mwenzang kwa ajili ya kutoa kishika uchumba na pia kulipa nusu ya mahali tuliyokubaliana. Baada ya kufika huko ndugu zangu hawakuamin walichokutana nacho huko ambacho ht mm mpk sasa siamin bado.
Mahari wamekuta ni million 4 na mahitaji kama koti la babu na vitu vingine jumla million 2 yan TOTAL ni million 6.
Kwa bahati mbaya sikuwepo ila laiti kama ningekuwepo bc ningewaomba ndugu zangu turudi nyumban
Nimesikitishwa sana na kilichotokea jana japo ndugu wamenishauri nisioneshe nia ya kukataa kuendelea na binti huyo lakini naona kabisa sitoweza najiona nikimuacha na kuendelea na maisha yangu
Ukweni wamenionesha rangi halisi kwamba kwao pesa ndio kipaumbele kikubwa kulko upendo.
Roho imeniuma sana nimejitoa vitu vingi sana ukweni kabla ya cku ya jana malipo yake ni mahari ya kukomoana kiasi hiki.
Wakuu naombeni faraja zenu na ushauri wenu nifanye nini katika swala hili.
Natanguliza shukran🙏
Kahama hakuna wasukuma,, na hiyo laki si angeenda kunywea pombe huyo binti nae hana akiliKuna jamaa yangu kaoa msukuma wa Kahama kwa laki moja
Nani kakudanganya kua kahama hakuna Wasukuma? Kuna kabila gani kama hakuna wasukuma?Kahama hakuna wasukuma,, na hiyo laki si angeenda kunywea pombe huyo binti nae hana akili
Sent using Jamii Forums mobile app
TUmewahi kufanya tukio kama hili iringaKuna siku tulikwenda kumuwakilisha dogo kwenye kutoa mahari, Kuna kiasi elekezi tulichoambiwa, kufika ukweni kabla ya kula tukaingia kufanya negotiations kwanza. Wakwe wakatuona labda tuna pesa Sana wakapandisha kila kitu zaidi ya Mara nne kupunguza wamegoma. Sisi tukasema hebu tutoke nje tukatete halafu tunarudi kutoa mrejesho. Ile kutoka nje tukampigia muoaji simu kwamba Mambo huku si Mambo. Dogo akasema, Wala msirudi kuaga ingieni kwenye gari rudini acha wale chakula Chao wenyewe na Mimi nambwaga binti Yao. Kwani tutakutana nao wapi sisi kila mtu anatokea mkoa wake. Ndio ikawa binti arudi sokoni Tena kutafuta mchumba mwingine.
Sisi tulipokelewa kwa vipeperushi ambavyo vimeandikwa gharama zote. Binti alikuwa tayari mjamzito hivyo kulikuwa na faini pia ya uhaeibifu. Kupiga hesabu ikawa 5.5M. Kijana akapigiwa simu akasema wabembelezeni. Tukaingia ndani ongea nao wee wale wazee wakakaza. Tu katoka nje tukamwelekeza kijana maana yeye haukwenda. Tukamwambia haya tuma pesa ya kuongeza hapo nae hana. Tukaingia tukaaga kwa kuahidi kuwa Tutarudi wakati mwingine. Hapo ndio wazee wakaanza nasaha. Wakashuka weeh mpaka tukafika sehemu panawezekana😅Kuna siku tulikwenda kumuwakilisha dogo kwenye kutoa mahari, Kuna kiasi elekezi tulichoambiwa, kufika ukweni kabla ya kula tukaingia kufanya negotiations kwanza. Wakwe wakatuona labda tuna pesa Sana wakapandisha kila kitu zaidi ya Mara nne kupunguza wamegoma. Sisi tukasema hebu tutoke nje tukatete halafu tunarudi kutoa mrejesho. Ile kutoka nje tukampigia muoaji simu kwamba Mambo huku si Mambo. Dogo akasema, Wala msirudi kuaga ingieni kwenye gari rudini acha wale chakula Chao wenyewe na Mimi nambwaga binti Yao. Kwani tutakutana nao wapi sisi kila mtu anatokea mkoa wake. Ndio ikawa binti arudi sokoni Tena kutafuta mchumba mwingine.