Sikutegemea nilichokikuta ukweni

Ujamp
ujampenda ukipenda uwezi huhesabu gharama mulize yakobo alitukika miaka 14 kupata mke
Mwanzo 29:20 Yakobo akatumika miaka saba kwa kumpata Raheli. Ikawa machoni pake kama siku chache tu kwa vile alivyompenda.
Mwanzo 29:30 Akaingia kwa Raheli naye, akampenda Raheli kuliko Lea, akatumika kwa ajili yake miaka saba
 
Nimeozesha mdogo wangu wa kike sijadai mahari baba wakubwa ndio walitaka suti na mablangeti wakapewa ila mimi ila mimi pamoja na kwamba nilimlipia ada ya chuo kikuu na alipomaliza chuo nikamtafutia kazi alipoolewa mimi kama kaka mkubwa wazazi walishafariki ndio nilipewa jukumu la kumuozesha niliwauliza wazee ndio wakataja vitu vinavyotakiwa mimi niliambiwa natakiwa kupewa ndafu hata sikuidai.
Biashara ya kuuziana wake kwa mtindo wa mahari siikubali mimi binafsi bado sijaoa kuna demu tunamtoto yeye anataka ahamie kwangu namkatalia ,mimi binafsi siwezi kulipa icho kitu kinachoitwa mahari
 
Usiache kuoa kama kweli una nia ya kuoa nichukue mimi twende kama mshenga wako.
Narudia nichukue mimi twende huko ukweni kwako utanikubali maisha yako yote kama ninavyomkubali mshenga wangu miaka ile naenda kuoa.
Aisee kuna vichwa haviharibu wala kuharibikiwa.
Tupo wachache vijana mtutumie kwenye masuala yenu ukweni hamtajuta na zaidi ya hapo mtatushukuru sana.
Gharama zangu ni kama utatumia siku mbili ukweni utanilipa laki tu na kama ni siku moja utanilipa elfu hamsini tu na shughuli yako naimaliza mimi.
Maisha yanahitaji uwe na mamastermind katika nyanja nyingi.
 
Mahari milioni 6? Halafu hana bikra zote mbili na nyuma
 
Hapo ndipo hulipokosea kujitoa Sana ukweni ,
Pole mkuu.
 
Jambo ni Moja tu mtoroshe huyo binti kama kweli anakupenda halafu wakija wape hiyohiyo 1.5 m

Mara nyingi ni hivyo ukienda kuchumbia Huwa Wana jiwekea juu maana wanajua kutakuwa na gharama za sedd off nk...

Vuta jiko kaa nalo Wala Haina shida kabisa. Baba mzazi ukute anaogopa jamii na ndg kumuozesha binti yake Kwa mahali kidogo hivyo wewe Nia umeonyesha Sasa mwambie Hali halisi kama atakubali vuta jiko usimuache tafadhar Hadi yeye alizie kuwa hayupo Tyr.

Japo no ya ni muda huu uzii wako itasaidia wengine
 
Hiyo red flag mjomba piga chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…