Sikuwa najua kama Mwenge ukizimwa huwa unawekwa mlima Kilimanjaro

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Ina maana sikulisoma hili shuleni ama lilinipita nimesikia kwamba baada ya tendo la ibada hii kuisha na hatimaye mwenge kuzimwa huwa unapelekwa mlima kilimanjaro unawekwa kule juu mpaka siku ya kuuwasha.

Mimi nilikuwa najua unapelekwa makumbusho huko. Anayeijua itifaki ya mwenge anisaidie hapo.
 
Kati ya vitu vya kijinga vinavyochezea pesa za walipa Kodi ni huu uchafu unaoitwa mwenge.
Ni kweli ukisemacho,lakini unajua madhara yake ukiachwa!!?

Unajua ni gharama kubwa kiasi Gani itahitajika ili kuikomboa nchi kutoka kwenye maamuzi ya tambiko liliofanyika kabla Ili iwepo hivi ilivyo!!?

Upon tayari kuingia gharama ya kuikomboa nchi hii kutoka kwa matambiko hayo!!?upo tayari kufunga ,kuomba Ili maamuzi ya uongozi na hatma ya nchi hii yatoke juu kwa mungu na sio chini Kwa mizimu na miungu inayoamua Hadi urais was 2050 huko mbaaali zaidi!!!

Mambo ya mwenge ni ya kiroho sana kuliko kisiasa kama wengi tunavyodhani!
 
Hakuna lolote!!!
 
Alafu unaweza kuta wewe ni mtu mzima kabisa yaani pengine hata na familia
 
Tulivyopata uhuru mfano wa mwenge ulipandishwa juu ya mlima Kilimanjaro 🐒
1000012916.jpg
 
Sisi tumekwisha kuwasha mwenge, tumekwisha kuwasha mwenge na kuuweka juu ya mlima, mlima Kilimanjaro 🎼🎤
 
Kati ya vitu vya kijinga vinavyochezea pesa za walipa Kodi ni huu uchafu unaoitwa mwenge.
Vitu vingine muhimu vilivyopo NYUMA YA mbio ZA Mwenge na AMBAVYO HUWEZI kuelezwa KWA maneno NI ukaguzi WA miradi YA maendeleo PAMOJA NA kucheki USALAMA WA NCHI KWA ujumla namna ulivyokaa. Sema TU budget YAKE kifedha NDIYO AMBAYO LAZIMA NI KUBWA kiasi
 
Nawe kama hujielewi hiv. Kwani kuna ulazima mwenge kukagua miradi?
 
Vitu vingine muhimu vilivyopo NYUMA YA mbio ZA Mwenge na AMBAVYO HUWEZI kuelezwa KWA maneno NI ukaguzi WA miradi YA maendeleo PAMOJA NA kucheki USALAMA WA NCHI KWA ujumla namna ulivyokaa. Sema TU budget YAKE kifedha NDIYO AMBAYO LAZIMA NI KUBWA kiasi
Hayo ndiyo matumizi mabaya ya pesa sasa.kukagua mradi Ina maana mkuu wa wilaya au mkoa au mhandisi wa mradi eneo husika anakazi Gani Sasa?ukisema kuangalia usalama je vyombo vya ulinzi kama polisi,jeshi la wananchi,uhamiaji,tiss vifanye kazi Gani?Mwenge ni matumizi mabaya ya pesa za umma na ni sehemu ya kumfanyia kampeni rais aliyeko madarakani Kwa sababu Kila wanaopita wanamsifu rais wa miradi ambayo inatekelezwa na pesa za umma
 
Back
Top Bottom