ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ni kweli ukisemacho,lakini unajua madhara yake ukiachwa!!?Kati ya vitu vya kijinga vinavyochezea pesa za walipa Kodi ni huu uchafu unaoitwa mwenge.
Hakuna lolote!!!Ni kweli ukisemacho,lakini unajua madhara yake ukiachwa!!?
Unajua ni gharama kubwa kiasi Gani itahitajika ili kuikomboa nchi kutoka kwenye maamuzi ya tambiko liliofanyika kabla Ili iwepo hivi ilivyo!!?
Upon tayari kuingia gharama ya kuikomboa nchi hii kutoka kwa matambiko hayo!!?upo tayari kufunga ,kuomba Ili maamuzi ya uongozi na hatma ya nchi hii yatoke juu kwa mungu na sio chini Kwa mizimu na miungu inayoamua Hadi urais was 2050 huko mbaaali zaidi!!!
Mambo ya mwenge ni ya kiroho sana kuliko kisiasa kama wengi tunavyodhani!
Hamna nchi duniani yenye mwenge ukiacha wa olimpiki! Huu ni matatizo matupu!Kati ya vitu vya kijinga vinavyochezea pesa za walipa Kodi ni huu uchafu unaoitwa mwenge.
Alafu unaweza kuta wewe ni mtu mzima kabisa yaani pengine hata na familiaNi kweli ukisemacho,lakini unajua madhara yake ukiachwa!!?
Unajua ni gharama kubwa kiasi Gani itahitajika ili kuikomboa nchi kutoka kwenye maamuzi ya tambiko liliofanyika kabla Ili iwepo hivi ilivyo!!?
Upon tayari kuingia gharama ya kuikomboa nchi hii kutoka kwa matambiko hayo!!?upo tayari kufunga ,kuomba Ili maamuzi ya uongozi na hatma ya nchi hii yatoke juu kwa mungu na sio chini Kwa mizimu na miungu inayoamua Hadi urais was 2050 huko mbaaali zaidi!!!
Mambo ya mwenge ni ya kiroho sana kuliko kisiasa kama wengi tunavyodhani!
Ni sehemu ya upigaji tu hamna loloteAlafu unaweza kuta wewe ni mtu mzima kabisa yaani pengine hata na familia
Vitu vingine muhimu vilivyopo NYUMA YA mbio ZA Mwenge na AMBAVYO HUWEZI kuelezwa KWA maneno NI ukaguzi WA miradi YA maendeleo PAMOJA NA kucheki USALAMA WA NCHI KWA ujumla namna ulivyokaa. Sema TU budget YAKE kifedha NDIYO AMBAYO LAZIMA NI KUBWA kiasiKati ya vitu vya kijinga vinavyochezea pesa za walipa Kodi ni huu uchafu unaoitwa mwenge.
Nawe kama hujielewi hiv. Kwani kuna ulazima mwenge kukagua miradi?Vitu vingine muhimu vilivyopo NYUMA YA mbio ZA Mwenge na AMBAVYO HUWEZI kuelezwa KWA maneno NI ukaguzi WA miradi YA maendeleo PAMOJA NA kucheki USALAMA WA NCHI KWA ujumla namna ulivyokaa. Sema TU budget YAKE kifedha NDIYO AMBAYO LAZIMA NI KUBWA kiasi
Hayo ndiyo matumizi mabaya ya pesa sasa.kukagua mradi Ina maana mkuu wa wilaya au mkoa au mhandisi wa mradi eneo husika anakazi Gani Sasa?ukisema kuangalia usalama je vyombo vya ulinzi kama polisi,jeshi la wananchi,uhamiaji,tiss vifanye kazi Gani?Mwenge ni matumizi mabaya ya pesa za umma na ni sehemu ya kumfanyia kampeni rais aliyeko madarakani Kwa sababu Kila wanaopita wanamsifu rais wa miradi ambayo inatekelezwa na pesa za ummaVitu vingine muhimu vilivyopo NYUMA YA mbio ZA Mwenge na AMBAVYO HUWEZI kuelezwa KWA maneno NI ukaguzi WA miradi YA maendeleo PAMOJA NA kucheki USALAMA WA NCHI KWA ujumla namna ulivyokaa. Sema TU budget YAKE kifedha NDIYO AMBAYO LAZIMA NI KUBWA kiasi
Mkuu hata na mi ndo nimesikia leo eti. LolNa mm ndo nasikia kwako leo