mboga TZ
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 444
- 503
Wasalaamu wakuu niende kwenye mada,katika vitu ambavyo wanaume wengi tumekuwa tukidanganyana ni kuwa mwanaume hawezi kulia kwa ajili ya mwanamke hata mimi nilikuwa miongoni mwao lakini nimekuja kutambua kuwa madai hayo hayana ukweli jamani mapenzi yana nguvu asikwambie mtu.
Nilibahatika kupata mpenzi ambaye alikuwa mkoani kwetu kimasomo akiwa mwenyeji wa songea nilibahatika kumshawishi adi akanielewa mtoto nikawa naye nikiri kuwa sikuwahi kuwa na mwanamke kimahusiano siliasi Kama yeye nilikuwa napita na mademu kutuliza hisia zangu na nilikuwa napata lawama kwa mademu wengi maana nikipita ndo nitolee simtafuti tena.
KO lawama zikawa nyingi lakini Mimi nikawa sijali kabsa ko wakawa wanajiongeza wenyewe kuwa siwapendi nawatumia tu lakin cha ajabu nilichokuja kukipata ni wakati ambao huyu binti wa songea aisee mapenzi ni hatar wakuu nimedumu nae kwa mda mrefu
Mtoto alinielewa balaaa nami nilimuelewa lakini wakati nipo naye bado niliendelea kuiba kidgo lakini nikaja kugundua hao ninaowacheat hawamzid chochote mpenzi wangu kwanza dogo alikuwa mtamu sijawah ona afu usafi ni wa hali ya juu tofauti na hyo michepuko nilipogundua hilo nikaacha kuchepuka alipomaliza masomo alitakiwa kurudi kwao maana alikuwa anaishi na anko wake ambaye ni mwalimu dogo akaniambia anataka aende kwao lakini mke wa mjomba ake akajifungua.
Ko ikabidi amsaidie majukumu safari ikaairishwa mpaka alipo tengamaa kiafya ko akaniambia kuwa anataka aende kwao rasmi wakati huo mimi nilipata dili la nje ya mkoa yeye aliniambia alhamisi anaondoka na Mimi taarifa ya huo mchongo nilipata jumatatu ikatakiwa niende jumanne nikampa taarifa dogo akaanza kulalamika inamaana unaondoka bira hata kuonana nami maana na.
Mimi naondoka alhamis kwenda nyumbani nilivoona kakosa amani nikamwambia aje jumanne home ilituagane akakubali akaja saa kumi na mbili dgo amefika gheto full kilio anasema hakuwahi kumpenda mwanaume Kama.
Mimi anachodai akienda kwao me itakuwa ndio mwisho wa kuwa nae nikajarbu kumuelewesha wap naona kabisa kumuoa cijajipanga bado tatzo likawa hapo nikulia tu nikasema ngoja nimpe kimoja kwanza mama yangu hapo ndo nilipochokoza mvua sasa na Mimi nikaanza kulia asikwambie mtu kwa Mara ya kwanza nalia kwa ajili ya mwanamke nilijikuta na Mimi nalia kwa sababu dgo alionyesha kuwa ananipenda kweli hatanii hadi mda wa kwenda stand nikachelewa niliumia kweli nikaona Kama namtesa dgo alifunguka mengi Sana tulilia saa moja huku nimemkumbatia dgo akasema anachukua tisheti zangu Kama ukumbusho nikamsindikiza na Mimi nikaenda stand Niko kwenye gari nimeseji zake tu nimefika mkoa wa kaz nikapga kaz wiki moja nikarudi nikamtaarifu narud siku fulani akaniambia ananisubir ndo aondoke.
nikafanikiwa kurudi salaam dgo akaja amefurah kuniona tena nikiri tu kuwa hata Mimi nilikuwa sina furaha mda wote huzuni tu maana unakuta ananipigia cmu analia nami machozi bac akasema saiz ndo anaondoka ikabidi nikubaliane na hali ameondoka Leo November 12 nimemsindikiza had stand anaenda Moro kwa Dada ake full kuniwaza mda wote ni text na kupigiwa Kira Mara akinijulisha alipo nilichogundua mapenzi ni hatar sijaamini kuwa mimi niliekuwa mkatili kwa wanawake Leo hii nalia sijaamin kwakweli umbali ni sumu kwenye mapenzi cijajua waliopo kwenye ndoa wanakabiliane na hii hali mmoja wapo anapopata safar ya mbali .