Mpendwa naomba unifafanulie hii "ko" ina maanisha nini?
Ndio inafuatana ila kuna wakati maisha yanatulazimisha tujifunze kuwa mapenzi yapo hai hata kama yuko mbaliMkuu inafutana na mtu mwenyewe
Sio cocoriko 😂😂Kokoliko[emoji16]
HaahahhaahHalafu motto wa kiume unajiitaje mboga??
Pamoja mkuuSawa mkuu