Asante kwa pongezi, uungwana ni vitendo. Na wakiendelea kubisha wasubiri mechi ya mzunguko wa pili.Bila unafiki wowote naomba niwapongeze sana kwa kikosi bora na uongozi wa watu wenye maono.
Ninaomba radhi kwa maneno mabaya niliyowahi kusema juu yenu nikiamini kuna michezo isiyo ya kimichezo mnaifanya ili kushinda.
Lakini sasa baada ya mechi ya leo sina sababu yoyote ya kuamini ninyi Yanga ni bora sana.
Mna haki ya kuzifunga goli 5 tano timu za ligi yetu.Sisi Simba mmetuonesha tulivyo na viongozi wahuni kwa sasa
HahahahahaHawa mbwa wanaweza hata kutupiga 7.... Kuna mengi ya kujifunza kwa utopolo ya sasa...
😂😂😂😂😂😂😂Hawa mbwa wanaweza hata kutupiga 7.... Kuna mengi ya kujifunza kwa utopolo ya sasa...
Kwa hio mnaogopa mtakula 7Duh hawa tukikutana nao tukae tu golini naona wakitupiga zaidi ya zile tano.
Maskini Simba yangu
Dawa yao IHEFUDuh hawa tukikutana nao tukae tu golini naona wakitupiga zaidi ya zile tano.
Maskini Simba yangu
Nini tena shida
Ushindi magoli leo umefurahi balaaSawa sawa