Nilipata kufahamu hilo na lilinishangaza sana mwezi uliopita baada ya kusoma mahali juu ya shutuma kwa shirika la ndege la KENYA AIRWAYS kwa kupaa mwendo kasi. Inachekesha lakini kila kitu kina utaratibu wake. Wajuzi wa mambo haya mtupe mbili tatu.
Ukiona Kuna muda wa kuruka na kutua inatosha kujua Kuna recommended speed Kwa chombo husika na route husika
Ndio maana Kuna Air controllers (TCAA)
Traffic wa anga