Sikuwahi kujua kuwa Shigongo si mmiliki wa Global Publishers

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679


Kwenye documnets za TCRA inaonekana mmliki ni mtu anaitwa Joachim Lusana Buyobe ambapo ndio mmiliki wa Geita online TV.

Je, huyu mtu yupo kweli ama Shigongo ametumia jina tu kukwepa kuonekana kwake?
 
Si alikaribishwa maji na Bi Zakia akaambiwa atulize koo kwanza,
Yale maji ndio malipo yenyewe mkuu, hadai tena kitu
Labda watamfanyia manjiru kwenye kodi ya Dar live
 
duhh ngoja niendelee kufatilia uzi huu maybe ntamjua mmiliki halali wa global publishers
 
F

Hilo ni tatizo la watu wenye IQ fupi kufikiria kila mtu ana hawara kama wewe ulivyo mzinzi na snitch
Ok mtu mwenye akili kubwaaaz le mbebezi fuatilia za baba ako basiii kama zipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…