Sikuwahi Muona mtu akiingia JF, JF kuna nani??

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
15,303
Reaction score
23,064
Huwa nashangaa sana nikija kila jukwaa na kuta reply na views kibaooooooo.

Nikitazama marafiki zangu ninaosoma nao, wachizi maskani na ndugu zangu hakuna anayefuatilia JF.

Sikuwahi mfumania mtu akipost kitu humuuu lakini ukiingiaa unakuta reply kama 500. Nimewahi kumsaidia broo kazi yake ya Internat cafe kwa muda wa wiki Moja sijawahi ona mtu akiingia JF.

Nilijaribu kuwauliza washkaji na madem tuliokuwatunafanya field sehemu moja kama wanaujua huu mtandao wengi walikuwa hawaujui ina mmoja ndiye alisema yeye huwa anasomaga tu post ila hachangiiiiii.

Kademu kangu ndo juzi ninakaona kanaaanza kufatilia, nafikiri huyu ndiye atakuwa wa kwanzaaaa..

Mi nauliza nyie mliopo humu mpo wapi? Mna comments mkiwa uvunguni nisiwaoneeeeee?? Na huwa mnacomments saa ngapiiiiii??

Natamani kumuona angalau memba mmoja kwa macho yangu nijue na ka ID kakeee bhanaaaaaa

Aggghhh!!!
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Huu uzi wako umenichekesha sana... Duuh, huu ni kiboko. Utakuwa sio uzi bali waya kabisa...
JF ni ya ma great thinkers... Tatizo lako wewe unaji associate na veeelazer ndio maana huwaoni wakitupia post humu...
 
Mkuu sio vilazaa, sijui na wao walikuwa wanajifana hawaijui JF?
 
Hahaha dah! Mkuu kwani watu wako wa karibu ama waliokuzunguka huwa wanakuona wakati unachat JF? Sasa usishangae kwanini hutuoni
 
Hahaha dah! Mkuu kwani watu wako wa karibu ama waliokuzunguka huwa wanakuona wakati unachat JF? Sasa usishangae kwanini hutuoni
mkuu mimi watu wananiona sanaa, huwa sifichiii
lkn nashangaa wao siwaoniiiii, afu nipo mjini kabisaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…