Sikuweka sahihi kwa mkono, nitaitwa kwenye usaili?

Sikuweka sahihi kwa mkono, nitaitwa kwenye usaili?

Rahky

Member
Joined
Apr 8, 2023
Posts
8
Reaction score
3
Sikuweka sahihi ya mkono kwenye barua yangu ya maombi ya kazi naweza kukosa nafasi ya kuitwa kwenye usaili?
 
kama ni ajira portal watakupiga chini
 
wasikutishe, all my application nasaini kupitia computer.
 
Katika mazingira ya waombaji wengi, siyo rahisi kumwita mwenye kasoro yoyote katika taratibu za uombaji ajira, ikiwemo ya kutokusaini barua. Kama deadline ya application bado, ondoa hiyo barua na uweke barua iliyosainiwa. Ni kwamba unaprint barua na kuisaini kisha unaiscan kama pdf na una-upload. Kama muda wa application umepita, subiri mara nyingine wakitangaza kazi! Huo ndio ukweli, lakini "miracles do happen" hivyo usikate tamaa kabisa!!
 
Back
Top Bottom