Sikuzote njia ya ushindi katika maisha ni kutokata tamaa

Sikuzote njia ya ushindi katika maisha ni kutokata tamaa

Princetaffa

New Member
Joined
Sep 5, 2022
Posts
2
Reaction score
12
Sikuzote njia ya ushindi katika maisha ni kutokata tamaa.

1) Amka na kuwa makini katika kila jambo utalofanya ila liwe la kukuengezea uchumi.
2) Usikubali kukatisha tamaa, maisha bora yanahitaji uvumilivu.
3) Jiangalie mara mbili wewe unataka kuja kuwa mtu wa dizaini gani, ukipata jibu basi zidi kukaza kamba.
4) Ulishawaza kupunguza marafiki wasiokua na fikra katika maendeleo yao.
5) Ukizingatia haya machache niokupa basi utapiga hatua.

By princetaffa
 
Pia usipende kupata credit kwa watu ndo uone kuwa wazo lako ni zuri watu wataishia kukukatisha tamaa....FANYA likikaa vizuri watakuunga mkono mbele ya safari.
 
Back
Top Bottom