Silaha za Laser: Marekani na mbio za silaha mpya za miale na mionzi (DEW) katika Karne ya 21

[emoji3][emoji3],Ulimwengu wa sasa teknolojia ndio silaha kuu,mtu kama Kiduku anatesa wananchi bure tu kuwalaza njaa ili atengeneze hayo mavyuma yake ambayo baadae hayatakuwa na kazi.
Kiduku ni mjeuri tu, hayo makombora yake anayojaribu kila siku yanampa kiburi.
 
[emoji3][emoji3],Ulimwengu wa sasa teknolojia ndio silaha kuu,mtu kama Kiduku anatesa wananchi bure tu kuwalaza njaa ili atengeneze hayo mavyuma yake ambayo baadae hayatakuwa na kazi.

Wale watu akili zao ni kama waafrika
 
Hukuona utafiti wa makinikia na uchafuzi wa mto Mara ?
 
Hii inafanyaje kazi?
 
Hypersonic missiles ni missiles za aina gani?
Zinatofautiana vipi na missiles nyingine?
Missile zinazosafiri haraka kuliko sauti, Za urusi zinasafiri hadi kilomita 10,000 kwa saa. Moscow mpaka london dk 15 tu inachukua.
 
ICBM ambazo mataifa karibu yote makubwa yanazo zinasafiri kwa hizo Km 10,000 kwa saa.
Missile zinazosafiri haraka kuliko sauti, Za urusi zinasafiri hadi kilomita 10,000 kwa saa. Moscow mpaka london dk 15 tu inachukua.
 
Laser ipo siku nyingi tu kwenye vita, waturuki wapo mbele sana kwenye hii sector na tayari 2019 walishatumia laser kudondosha ndege ya China vita vya Libya

Video ya maonesho yao.

Hivyo si silaha mpya
 
ICBM ambazo mataifa karibu yote makubwa yanazo zinasafiri kwa hizo Km 10,000 kwa saa.
Hypersonic zinauwezo wa kubadili route ni maneuvarable compare na Balistic

Ukiangalia hio picha inaonesha jinsi balistick zinavyotembea na ambavyo ni rahisi kuonekana na radar hata zikiwa mbali compare na hypersonic

Soma zaidi hapa tofauti ya hypersonic na Balistic

Pia ukisoma hio Article utaona marekani karequest kama trilioni 10 kwenye Budget kujenga defence ya Hypersonic na kudevelop hizo silaha.
 
Laser ipo siku nyingi tu kwenye vita, waturuki wapo mbele sana kwenye hii sector na tayari 2019 walishatumia laser kudondosha ndege ya China vita vya Libya

Video ya maonesho yao.

Hivyo si silaha mpya
 
Marekani tayari ina mfumo wa radar uliotapakaa dunia nzima. Wanazo radar kwenye manowari na meli zinazolizunguka taifa lao na zinazozunguka dunia nzima, zipo radar kwenye mataifa yote ya NATO ambayo yako karibu na Russia.

Hypersonic walizo nazo Russia ni Air to ground, ambazo inabaidi watumie ndege kuzirusha. Kwa taifa ambalo lina ulinzi mzuri wa anga huwezi kusogelea anga yao hata kupata hiyo nafasi ya kufany mambo yako.
 
Hatuwezi kuwekeza kwenye vita,,
Hatuna adui wa kututisha sisi
Jibu rahisi tu. Nani kakuambia kwamba sayansi ni vita tu. Unafahamu hata kilimo ni sayansi na unafahamu kwamba Ukraine wanazalisha karibu tani milioni 100 za nafaka kwa mwaka, sasa jiulize sisi tunazalisha tani ngapi wakati tuna ardhi kubwa kuwazidi na hatuna Winter.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…