Silas Lucas Isangi ndiye Rais Mpya wa Shirikisho la Riadha Tanzania (AT)

Silas Lucas Isangi ndiye Rais Mpya wa Shirikisho la Riadha Tanzania (AT)

Melubo Letema

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
416
Reaction score
414
Silas Lucas Isangi , ndiye Rais Mpya wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Makamu wake ni John Bayo.

Huku Wajumbe wa Kanda wakichukua...

1. Kaskazini : Alfredo Shahanga
2. Pwani : Robert Kalyahe
3. Magharibi : Amon David Mkoga
4. Nyanda za Juu : Lwiza John
5. Kanda ya Ziwa : Donald Ramadhani Machibya
6. Kanda ya Kati : Michael Washa.

Wajumbe Viti Maalum Wanawake

1. Christina Salu Paga
 
Tunashukuru kwa taarifa, ila hawa kazi yao ndio kutoa vibali vya riadha bonanza zinazoibuka kila siku?
 
Vip akina Abdul Naseeb shamte Sandra esma hawakugombea maana naona majina ya upande mmoja tu au kura hazokutosha?
 
Tunashukuru kwa taarifa, ila hawa kazi yao ndio kutoa vibali vya riadha bonanza zinazoibuka kila siku?
Ndio hao RT na uongoz wa riadha wa mkoa, yani wanapiga pesa hao[emoji23][emoji23]
 
Silas Lucas Isangi , ndiye Rais Mpya wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Makamu wake ni John Bayo.

Huku Wajumbe wa Kanda wakichukua...

1. Kaskazini : Alfredo Shahanga
2. Pwani : Robert Kalyahe
3. Magharibi : Amon David Mkoga
4. Nyanda za Juu : Lwiza John
5. Kanda ya Ziwa : Donald Ramadhani Machibya
6. Kanda ya Kati : Michael Washa.

Wajumbe Viti Maalum Wanawake

1. Christina Salu Paga
Hongera Lwiza John my school mate
 
Back
Top Bottom