Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Ndio hao RT na uongoz wa riadha wa mkoa, yani wanapiga pesa hao[emoji23][emoji23]Tunashukuru kwa taarifa, ila hawa kazi yao ndio kutoa vibali vya riadha bonanza zinazoibuka kila siku?
Hongera Lwiza John my school mateSilas Lucas Isangi , ndiye Rais Mpya wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Makamu wake ni John Bayo.
Huku Wajumbe wa Kanda wakichukua...
1. Kaskazini : Alfredo Shahanga
2. Pwani : Robert Kalyahe
3. Magharibi : Amon David Mkoga
4. Nyanda za Juu : Lwiza John
5. Kanda ya Ziwa : Donald Ramadhani Machibya
6. Kanda ya Kati : Michael Washa.
Wajumbe Viti Maalum Wanawake
1. Christina Salu Paga
NNyange 💩Vip akina Abdul Naseeb shamte Sandra esma hawakugombea maana naona majina ya upande mmoja tu au kura hazokutosha?
Namkumbuka huyu dada alikuwa anakimbia mbio fupi enzi zakeHongera Lwiza John my school mate