Silence Please !!

Silence Please !!

MAMA POROJO

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
4,974
Reaction score
785
sonyvaio.jpg

Hakuna kulala, darasa kama kawaida huku porini.
 
Wanaonyeshwa picha tu..hamna kitu cha 'a wala 'be hapo.
 
hahahah kitu kina Cover kabisaaa tehetehe duh kweli duniani kuna mambo
 
Hiyo cover ni kwa ajili ya usalama, huwa mama ndo anamvisha baba ili kuhakisha kuwa mbwa haoni kuwa ni useless piece of meet
 
Teh teh, hivi kumbe bado watu wako kwenye Evolution mpaka sasa jamani, hiyo pic ni ya kweli maji moto au ndo mambo ya technologia?
 
Teh teh, hivi kumbe bado watu wako kwenye Evolution mpaka sasa jamani, hiyo pic ni ya kweli maji moto au ndo mambo ya technologia?

Tena kuna video clips wachina wanaonyesha kila mara. Nadhani wanaitoa discovery channels
 
Back
Top Bottom