MASSOUD AHMED
Member
- May 8, 2022
- 15
- 7
Baadhi ya simu inabidi u edit icon gani zitokee, vuta hilo pazia angalia alama ya edit imekaa kama kalamu halafu eka mwenyewe unachotaka kitokeeKwanini Simu za google pixel hazioneshi icon ya sauti/vibration/silent pale kwenye notification bar(pazia) au inahitaji setting?
Nimefanya ivo ila icon ya sound sijaikutaBaadhi ya simu inabidi u edit icon gani zitokee, vuta hilo pazia angalia alama ya edit imekaa kama kalamu halafu eka mwenyewe unachotaka kitokee
Nazungumzia pale kwenye pazia apo naiona fresh na ndo ninaposet ila nataka shortcut kwenye pazia pale kama ilivo kwa data
Tumia njia ya jamaa hapo juu ya kubonyeza volume up ama down.Nimefanya ivo ila icon ya sound sijaikuta
Ndo nnayotumia ila nilihisi labda itakuwepo paleTumia njia ya jamaa hapo juu ya kubonyeza volume up ama down.