Silifumbii macho hili....

Satumbo

Member
Joined
Sep 25, 2013
Posts
77
Reaction score
5
Habari za majukumu wana JF..., Naomba kujua TAASISI inayohusika na suala zima la VYETI VYA KUGHUSHI ili niweze kutoa taarifa juu ya hilo. Tafadhali unapojibu nipe na ADDRES ya taasisi husika kama utaweza. AHSANTE.
 
Waone TAKUKURU makao makuu
 
Nakupa big up mkubwa kwa kuwa unaujacri,wengi wetu watanzania maovu tunayafumbia macho!mm npo pamoja na ww nakunga mkono!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…