Sililazii damu hili suala la kupanga matokeo

ASCUDA T

Senior Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
120
Reaction score
33
Jamani Jamani Nchi Yangu Hawa Watu Wanakupeleka Wapi? Nakumbuka Enzi Za Mongai Alifuta Michezo Mashuleni Akidai Inachangia Kufeli Na Akasahau Michezo Pia Ni Sehemu Ya Elimu Na Ni Industry Nzuri Xana Ya Kuwapatia Vijana Ajira! Akaja Na Physiochemistry Kuchapisha Hvo Vitabu Ilihitaji Pesa Leo Tena Wamekuja Na Jipya Eti Div 5. Jamani Watanzania Wenzangu Hawa Jamaa Tukiwaacha Watakuja Na Div Ten. Embu Wawalipe Maticha Wetu Vizuri Kuongeza Madawati Kuandaa Walimu Bora Itakuwa Swafi, Jengeni Maabara Nzuri Na Kuwapa Motisha Walimu Na Wanafunzi Elimu Ya Bongo Itatupeleka Kwenye Ushindani Wa Kiuchumi Mzuri. Mi Mcnizibe Mdomo Tene Nawambia Hapo Tumewashtukia Hamna Kheri Kabisa Tena Ccm Mnajimaliza Wenyewe. Ee Mungu Ona Hawa Viongozi Twaomba Mkono Wako Baba Utende Kazi. Je Ile Shule Ya Kata Pale Vp Inachaki Za Kutosha. Mungu Ibariki Afr Mungu Ibariki Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…