johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kamanda Muroto aanze na huyu mama katika ile wanaita "kuisaidia polisi"Ndipo akasimama mbunge mwanamama ambaye ni jirani kabisa na wa Mbowe akadai siku hiyo alikuwa macho hadi saa 7 usiku na hakusikia chochote mlangoni kwa Mbowe.
Mmh, huyu mama mbeya, yaani huwa anasikiliza ya jirani!Ndipo akasimama mbunge mwanamama ambaye ni jirani kabisa na wa Mbowe akadai siku hiyo alikuwa macho hadi saa 7 usiku na hakusikia chochote mlangoni kwa Mbowe.
Mbunge huyo amesema kwa kawaida Mbowe akiwa anakunywa na rafiki zake au kufanya party huwa anasikia kila kinachoendelea lakini usiku wa juzi palikuwa na utulivu kabisa bila tafrani yoyote.