Silinde: Mbowe ni msanii majirani zake hawakusikia purukushani zozote za yeye kuvamiwa

Hizi siasa nyepesi hazitawasaidia kitu, kama lengo ni kumwangamiza Mbowe mbinu ziko nyingi. Hizi za kutumia waathirika haziwezi kamwe kutikisa wenye akili.
Mshaurini Mbowe awe smart la sivyo mtaishia kuumizwa na matendo yake. Hata ungemtetea vipi humu JF, najua rohoni huridhishwi na mienendo yake.
 
Mshaurini Mbowe awe smart la sivyo mtaishia kuumizwa na matendo yake. Hata ungemtetea vipi humu FB, najua rohoni huridhishwi na mienendo yake.
Kumbe unaongelea mambo ya FB? Mimi siko FB!
 
Chadema ebu tuambieni ukweli
Nini kilimtokea mbowe?
 
Yuda Iskarioti kamwe hakunufaika kwa vipande vya fedha alivyopewa na wenye mamlka ili afanye usaliti, alijikuta akimsaliti mwenye haki huku akiwanufaisha wale waliomshawishi na kumtuma, lkn fedheha aliyoipata iliishia kufa kifo cha aibu.
 
Itakuwa alilewa sana akawa anawaza jinsi Waitara alivyomuumbua juu ya mkopo hewa. Matokeo yake akateleza.
 
Wanasiasa bwana...

Hawa wanasema pumba hawa wengine wanatumia pumba zilizosemwa kuwadanganyia waliosema pumba.

Pumba juu ya pumba... ndiyo shibe yenu wazee kazaneni.
 
Jamaa baada ya kuhama na ubunge wake kwenda ccm, akili yote imehama.huyu mpaka sasa anatuibia kodi zetu hakutakiwa kuwa bungeni
 
Mtu yeyote anayenunulika ni lazima awe na upumba.vu wa namna fulani. Mtu mzima mwenye akili timamu huwezi kukubali kununuliwa.

Hawa wabunge walionunuliwa kama vitumbua siyo watu wa kusikilizwa kama tunavyowapuuza wale wenye uwendawazimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huyu silinde kama chama chake kipya hakita mpitisha kwenye kura za maoni kutetea ubunge atafanya nini ? Vijana wa dogo kama silinde hupaswi kunyea kambi maana bado ana safari ndefu ktk maisha kama mungu atamjalia uhai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…