Mzee wa kurekebisha
Senior Member
- Sep 29, 2012
- 178
- 169
Simba mbona amuongelei ubingwa au mechi za Yanga ndio ubingwa kwenu..WE ARE THE CHAMPIONSHuwezi kuliona kwa sasa unajifariji tuu!? Ngoja ligi ianze ukishatobolewa 7 -0 na Lunyasi then akili itakurudia na kuliona pengo lake
U champion wako unasaidia nini zaidi ya kulitia aibu taifa?Simba mbona amuongelei ubingwa au mechi za Yanga ndio ubingwa kwenu..WE ARE THE CHAMPIONS
Ni kweli kabisa pengo halitakuwepo ndio maana mnachoma jezi zakeSio kwamba SIZITAKI MBICHI HIZI, kila ninvyoangalia sioni ni kwa
namna gani yanga itapata pengo kwa kumpoteza Haruna Niyonzima
Zifuatilie mechi za Yanga halafu katika hizo mechi akosekane Haruna
baada ya hapo zifuatilie mechi za yanga ambazo amekosekana Msuva
halafu urudi hapa utueleze.
Mkuu una wivu mbaya sana,btw niko zanzibar bado kwenye honeymoon ya kusheherekea ubingwa,nikirudi tutajadiliana vizuri.U champion wako unasaidia nini zaidi ya kulitia aibu taifa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Simba mbona amuongelei ubingwa au mechi za Yanga ndio ubingwa kwenu..WE ARE THE CHAMPIONS
Sherekea ujingaMkuu una wivu mbaya sana,btw niko zanzibar bado kwenye honeymoon ya kusheherekea ubingwa,nikirudi tutajadiliana vizuri.
Hawana jeuri ya kuongelea ubingwa hao matopeni. Mipango yao ya mwaka mzima ni kumfunga Yanga basi. Ufanisi wao kwa mwaka mzima hupimwa kwa kumfunga Yanga.Simba mbona amuongelei ubingwa au mechi za Yanga ndio ubingwa kwenu..WE ARE THE CHAMPIONS
Twende pole pole braza aibu gani unayoizungumzia hapo?U champion wako unasaidia nini zaidi ya kulitia aibu taifa?
Miaka mliyochukua uchampion mlishinda kikombe gani cha CAF?U champion wako unasaidia nini zaidi ya kulitia aibu taifa?