Aisee muulize huyo jamaa na wenzie wa kule mchangani! Kama ni aibu katika soka hilo ni tatizo la Taifa zima! Wamesahau ile aibu waliyotuletea toka kwa Liboro!Twende pole pole braza aibu gani unayoizungumzia hapo?
Fungua thread nyingine Mkuu, kisha ndio tuanze kuongelea ubingwa. Mbona nyie vyura wagumu kuelewa hii thread inamhusu Niyonzima(Fundi) halafu wewe unataka tuongelee ubingwa.Simba mbona amuongelei ubingwa au mechi za Yanga ndio ubingwa kwenu..WE ARE THE CHAMPIONS
Ujue wanashangaza sana hizo tambo zao. Waseme sasa hicho walichofanyiwa na libolo. Halafu huwa hawakizungumziiMiaka mliyochukua uchampion mlishinda kikombe gani cha CAF?
Goli nne za LIBOLO ni aibu au sifa?
Kiukweli hakuna pengo aiseeYanga ilikua na mtu anaitwa Saidi Mwamba 'Kizota'. Kiraka kinaziba kila mahali... Niyonzima haingii hata chembe... Yuko wapi sasa na Yanga iko wapi... Hii ndo Yanga
Ni kweli maana kuna mda alikuwa anajiona yupo juu ya YASC.Mi si tu silioni pengo bali tumechelewa kuachana nae
mkuu unaweza kuwa sahihi. lakini siye wengine hapa ni akina Tomaso - tunataka uthibitisho kupitia takwimu!Sio kwamba SIZITAKI MBICHI HIZI, kila ninvyoangalia sioni ni kwa
namna gani yanga itapata pengo kwa kumpoteza Haruna Niyonzima
Zifuatilie mechi za Yanga halafu katika hizo mechi akosekane Haruna
baada ya hapo zifuatilie mechi za yanga ambazo amekosekana Msuva
halafu urudi hapa utueleze.
Wewe ulililetea Taifa sifa baada ya kupigwa na Recreativo Del LIBOLO ka'ukwezi pale Taifa....U champion wako unasaidia nini zaidi ya kulitia aibu taifa?
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu una wivu mbaya sana,btw niko zanzibar bado kwenye honeymoon ya kusheherekea ubingwa,nikirudi tutajadiliana vizuri.
Na nyie mipango yenu ni ipi kwenda kutia aibu nchi yaan nyinyi ndo wamatopeni na subirini mbona ubwabwa mtaita babaHawana jeuri ya kuongelea ubingwa hao matopeni. Mipango yao ya mwaka mzima ni kumfunga Yanga basi. Ufanisi wao kwa mwaka mzima hupimwa kwa kumfunga Yanga.
Kitu pekee ambacho hawana uhakika nacho ni NDOO ya VPL.......[emoji23][emoji23][emoji23]Simba mbona amuongelei ubingwa au mechi za Yanga ndio ubingwa kwenu..WE ARE THE CHAMPIONS
Usikwepe mishare.....Fungua thread nyingine Mkuu, kisha ndio tuanze kuongelea ubingwa. Mbona nyie vyura wagumu kuelewa hii thread inamhusu Niyonzima(Fundi) halafu wewe unataka tuongelee ubingwa.
Aibu ipi? Ya kupigwa nne na LIBOLO?Na nyie mipango yenu ni ipi kwenda kutia aibu nchi yaan nyinyi ndo wamatopeni na subirini mbona ubwabwa mtaita baba
Ingeniuma sana kama Niyo angesepa kipindi ambacho KAMUSOKO hajafika....Yanga ilikua na shida na kiungo mkabaji,.. Niyonzima hajaacha pengo...
Hapo ndipo wakina Aveva wanapowaweza hawa mambumbumbu wa mikiani usajili wote huu walioufanya sio kwa ajili ya ubingwa bali ni kumfunga Yanga na Okwi tena kesho ndio anakuja washawamaliza tayari hoi.Simba mbona amuongelei ubingwa au mechi za Yanga ndio ubingwa kwenu..WE ARE THE CHAMPIONS