Silioni pengo la Niyonzima Yanga

Sungurakarukaruka, lakini hakufikia,
Matunda hakuyashika, mikononi hakutia,
Hakika alisumbuka, nguvuze zikapungua,
Nguvuze zikapungua Sungura nakuambia.
 
Ila kweli maana hata kufika kuwa tayari kumlipa ZILEEE mbona poa tu
 
Pale yanga aliondoka frank domayo chumvi nikadhan hapo kwisha lakin wapi.... pili izi timu kubwa zina kamati tata sana tena kama ukiondoka kwa povu hasa yanga huwa hawadumu ilo nalo anatakiwa alijue waliotoka yanga kwa mbinde wengi waendako uwa vituko tu... so fundi niyonzima ajiandae kisaikolojia pia kwa ilo ukiwaacha wanaotoka simba kwenda yanga wengi ucheza poa kama akina yondan na chuji... pia kifupi vipaji vipo kibao nadhan wapo watacover
 
Huwezi kuliona kwa sasa unajifariji tuu!? Ngoja ligi ianze ukishatobolewa 7 -0 na Lunyasi then akili itakurudia na kuliona pengo lake
Wasokoni, kweli una walakini. Yanga imeanza kuwa bingwa kabla ya Niyonzima na itaendelea kuwa bingwa hata baada ya Niyonzima kustaafu (kuhamia wasikopanda ndege regularly)
 
Naona watu wanakomaa na simba na yanga ila Singida united itafanya maajabu msimu huu
 
Hawana lolote hao watoto mipango yao ni midomoni tu kama wale jamaa wenye mimba ya libolo

Naona watu wanakomaa na simba na yanga ila Singida united itafanya maajabu msimu huu
 
Niyonzima ni mchezaji wa kawaida si aende ulaya kama akina samata kama anaweza?
Tunekuwa naye misim 6na tumefanya nin kimataifa? Wachezaji wapo wengi na pengo litazibika tu kama kawa .Jembe linalokosa uwanjani pengo likaonekana ni Msuva na Ngoma tu.
 
Unaweza kuta na wewe umeshiriki kuchoma jezi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…