Silioni pengo la Niyonzima Yanga



1. Kapteni mzuri sana uwanjani kushinda Cannavaro?

2. Pasi za mwisho amezidiwa na KAMUSOKO na MSUVA.

3. Anaweza badilisha mchezo dhidi ya JKT ruvu na Toto African pekee, ila sio dhidi ya Timu kubwa kama AL ahly na Zesco United.( You dont have to expect it from any foreign player playing in our clubs)
 
Mpaka sasa Yanga kuna pengo la msuva tu katika wachezaji walioondoka,lakini kinachonishangaza ngoma na chirwa wameondoka Yanga lakini pengo lao linaonekana kwa mikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…