mwambie Invisible akublock usilione.Jukwaa hili bana yaan % kubwa ya thread ni kupeana stress tupu mara 'hakuna mwaminifu 100%' mara 'mtu aliyemtoa demu bikra ataendelea kumgonga huyo demu hata akiolewa na mtu mwengine' mara ' mwenye mashine ndefu ndio bora (je sisi wenye fupi), mara ' ku do nje ya ndoa si dhambi' yaan full kutupa stress sisi tulipenda kiukweli ukweli....
teh teh naunga mkono hoja liondolewe kwa muda kidooogo
mwambie Invisible akublock usilione.
Mtoa mada na wachangiaji wote you have made my day.
Duh, kweli MMU ni Kiboko
@gango2, unaogopa nini akiliwa? Tena kwa siri? Anaenda kuongeza ujuzi tu atoke kwenye huo u-clerk to Manager, kuwa objective utafurahia.
Evarm napenda avatar yako inaonyesha wewe ni mdogo hafu unaandika kwa font ndogoooUsiwe unaingia MMU kabisa ili usipate stress, pole sana!!
Ila humu kuna ushauri mzuri na mbaya hivyo Mungu amekupa utashi wa kuchagua mema na mabaya. Chukua yaliyo mazuri mabaya waachie wenyewe!!!!
Kumbe MMU ni full stress? Nlikuwa sijui