Sim banking ya Equity kwa mtandao wa halotel hakuna

Sim banking ya Equity kwa mtandao wa halotel hakuna

Wangari Maathai

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Posts
34,962
Reaction score
70,576
Bank ya Equity haina option ya kutuma hela kwenda /kutoka bank kupitia mtandao wa Halotel...usumbufu Sana!. Wahusika angalieni Hili suala!
 
Bank ya Equity haina option ya kutuma hela kwenda /kutoka bank kupitia mtandao wa Halotel...usumbufu Sana!.
Wahusika angalieni Hili suala!
Mkuu Equity Bank walisharekebisha hii issue?! Maana nina mpango Wa kujiunga na hii bank tatizo natumia sim card ya halotel pia?! Mbona umoja ATM wana access nazo ?!
 
Mkuu Equity Bank walisharekebisha hii issue?! Maana nina mpango Wa kujiunga na hii bank tatizo natumia sim card ya halotel pia?! Mbona umoja ATM wana access nazo ?!
Hawajarekebisha...nikaamua kutumia Airtel...yaan halotel hakuna optn ya equity bank..
 
Back
Top Bottom