Simama imara kijana katika maisha

Biashara za kudanganya danganya watu oooh "njoo utengeneze hadi milioni kwa siku" wakati nnaesema hivo nimepauka sio kazi rahisi
Ha ha hah ha ha ha ha ha ha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha me nilihudhuria moja tu mwaka 2006 kipindi hicho haipo maarufu sana......jamaa alitupia maneno ya kutujaza upepo.....nikanunua mzigo wa 120,000/=

Siku zikaenda nikaona vitu haviuziki maana wateja wenyewe wanaviogopa wamasema ni vya bei. Basi nikavitumia mwenyewe maana sikuwa na ujanja.

Kilichofuata ni kushauriana na halimashauri ya kichwa changu kuwa kwa siku sijazo, utapoona haya madude ya kupeana maneno ya kwamba sijui utatajirika sijui kwa kujiunga nini sijui, hakunaga biashara ya halali inayomlipa mtu mamilioni hivyo kwa haraka. Labda iwe ya kuuza dawa za kulevya.
 
Pole mkuu mi sikutaka hata kujarib maana niliona kuwa ni uongo wa kiwango cha juu
 
ha ha ha dawa ya meno elf 14
hapo mtz wa kawaida anaetumia whitedent, ana dawa zake kubwa 7 na miswaki 14 ha ha ha
 
Anaekwambia hivo kwamba utamake milioni, ukimwangalia alivo unamuonea huruma kapauka masikini
 
aah wapi biashara za kuitana inbox za kazi gani, inaonesha hujiamini na unachokifanya...
Afu mi hiyo biashara siiwezi make inahitaji uwe na uwezo wa kujitoa ufahamu, ujifanye fyatu flani hivi
Hapana siyo kihivyo ila mawazo yako na uoga
 
Ata mm pia trevo nimeenda tena siyo trevo ila na kampuni zingine pia ila niliona wanzinguza tu kwa sababu una weza jisajir kwa tano na package zao juu. Tatizo lina kuja pale ambapo una hitaji kurudisha fedha yako dah ilo ni tatizo tatizo kubwa sana
 
Crytocurrency exchange nibiashara ambayo nipo involved niliweka 67500tsh ita nilipata kila wiki 3150 ambayo kwa mwezi ni 12,600 Baada ya mwaka ni 151200 tsh ata hiyo ni sawa na trevo
 
So maisha nikuchaguwa maamuzi ni yako kama ni wewe ni muhanga wa hizo network marketing pole ila ata mm nipita huko nikaona hakulipi ndo maana nikatafuta fursa ambayo mm nipo huru huku hanaga package sijui ila ni ww tu kwa mfano mwezi wa tisa mwaka huu bitcion 1 ilikuwa sawa na$3226.41 leo ni $5500.00 jaribu kuwa una fuatilia hizi fursa.
 
Kinachokufanya usiweke hiyo biashara hapa ni nini mpaka muanze kutafutana huko whatsapp?
 
Biashara za inbox wapi na wap bwana weka vitu hapa tusome atakayependa akufuate asiyependa basi...mambo ya kuitana inbox ya kizamani.
 
*IFAHAMU BITCLUB ADVANTAGE NA FAIDA ZAKE*

HII ni kampuni ya kimataifa inayofanya biashara ya ubadilishaji wa fedha dijitali (crypto currencies exchange)

Imelenga katika kutumia teknolojia maalumu inayowawezesha kupata faida kubwa na kugawana faida hiyo na wajasiriamali waliowekeza mitaji yao katika kampuni kwa muda wa wiki 52. Mwekezaji ataweza kutengeneza faida hadi 300% ya uwekezaji wake.

*Tofauti ya Bitclub Advantage na kampuni nyinginezo ni:*

[emoji67]‍[emoji264]Hakuna bidhaa za kutembeza au kuuza ndio ulipwe

[emoji51]Hakuna malipo ya kianzio (starter pack) bali pesa yote unayowekeza ni sehemu ya mtaji wako

[emoji39] Makato ya kila mwezi (monthly fee) ni chini ya 2.6% ya kifurushi chako

[emoji39]Vifurushi 7 vyenye gharama kuanzia $25 hadi $1999 hivyo kila mtu anaweza kuingia.

Kiwango cha chini cha kutoa (minimum withdraw) ni kuanzia $10 hadi $300 kulingana na ukubwa wa kifurushi.

[emoji651]Hakuna kiwango cha mwisho cha juu (maxmum withdraw) cha kutoa fedha zako.
Kushirikisha wengine ni hiari yako

[emoji536]Huhitaji kufungua ofisi au kuacha kazi yako ya sasa.

Ili kuanza uwekezaji wako chagua kati ya vifurushi vifuatavyo:

(malipo yanayoonyeshwa ni bila kumshirikisha yeyote, iwapo utashirikisha wengine (networking) utalipwa bonus nyingi sana)

*PACKAGES Pamoja na MALIPO YAKE* (bei zilizoonyeshwa ni pamoja na transfer charges na pia zinaweza kubadilika kutokana na thamani ya $ kwa wakati husika)

1. *CLIENT PARTNER* :: 30$ (67,500tshs)
UNALIPWA $1.4 (3150Tshs) KILA WEEK,
$6.16)13,860Tshs KWA MWEZI

2. *CLIENT BASIC* : 55$ (123,750tshs)UNALIPWA $2.8(6,300tshs)/KILA WIKI,
$12.32(27,720tshs)/KWA MWEZI

3. *CLIENT BRONZE* :110$ (247,500tshs) UNALIPWA $6.75 (15,180tsh)/KWA WIKI,
, $29.7(67,000Tsh)/ KWA MWEZI.

4. *CLIENT SILVER* :270$ (607,500tshs) UNALIPWA $16.93(38,100tshs)/ KWA WIKI, $74.5(167,630tshs)/ KWA MWEZI

5. *CLIENT GOLD* :550$ (1,237,500tshs) UNALIPWA KWA WIKI $33.93(76,340 tshs) UNALIPWA
$149.3 (336,000tsh)/ KWA MWEZI

6. *CLIENT PREMIUM* :1060$ (2,385,000tshs)
UNALIPWA, $67.93(152,800tshs) /KWA WIKI , $298.9 (672,500tsh) KWA MWEZI

7. *CLIENT BLACK*: 2060$ (4,635,000tshs) UNALIPWA, $153.92(346,300tshs)/ KWA WIKI, $677.26(1,501,000tshs)/KWA MWEZI

NB:1 usd = 2,250tshs

MALIPO HAYO UTALIPWA HATA BILA KUMSHIRIKISHA MTU YEYOTE. UKIMSHIRIKISHA MTU HAPO NDO Unapata FAIDA ZAIDI MAANA KUNA *AINA 5 ZA BONUS* ZITAKAZOKUHAKIKISHIA KIPATO KIKUBWA SANA AMBACHO HUJAWAHI KUWAZIA (amini usiamini Ingia huku utajionea)
(1) direct bonus
(2)indirect bonus
(3)binary bonus
(4)daily commission
(5) points kwaajiri ya zawadi[emoji91][emoji91][emoji123]

KARIBU TUKUZE KIPATO NA Tutengeneze faida maradufu kwa BIASHARA HII YA KARNE YA 21 YA CRYPTOCURRENCY TRADING KUPITIA KAMPUNI YA BITCLUB ADVANTAGE.

Kumbuka, Mkataba na bitclubadvantage ni wa mwaka mmoja (52weeks)kwa kila kifurushi utachokinunua
 
Ukiona kwako siyo fursa una acha tafuta nyingine. Weka tu share kwa mawazo na mtazamo kwa pamoja.. lengo ni kutoa ktk umaskini. Maswali ruksa pia ata maoni pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…