Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
sasa wewe hauoni kama ni hasara kabisa hiyo pesa ni kubwa sana kama utaongeza kwa genge faida hiyo itakuja kwa mwezi mmoja tu lakini ata hivyo biashara za online market zinalipa kama utajilipua lakini tatizo usalama yahitaji moyoCrytocurrency exchange nibiashara ambayo nipo involved niliweka 67500tsh ita nilipata kila wiki 3150 ambayo kwa mwezi ni 12,600 Baada ya mwaka ni 151200 tsh ata hiyo ni sawa na trevo
Huo ni mfano wa mtu mwenye kiwango kidogo watu wenye pesa zao wana nunua packages za millioni 4 na nusu yeye kila mwezi anaingiza milioni 1na nusu kwa mwaka kitu kama milioni 18 na pointssasa wewe hauoni kama ni hasara kabisa hiyo pesa ni kubwa sana kama utaongeza kwa genge faida hiyo itakuja kwa mwezi mmoja tu lakini ata hivyo biashara za online market zinalipa kama utajilipua lakini tatizo usalama yahitaji moyo
Kampuni Gan unatumia, na je iyo 12000+kwa mwez waweza kudraw?Crytocurrency exchange nibiashara ambayo nipo involved niliweka 67500tsh ita nilipata kila wiki 3150 ambayo kwa mwezi ni 12,600 Baada ya mwaka ni 151200 tsh ata hiyo ni sawa na trevo
Nishakusoma mkuuKampuni Gan unatumia, na je iyo 12000+kwa mwez waweza kudraw?
Asante sana ndugu yangu natamani sana kuwa mjasiriamali ila ujasiri wa kuanza ni mdogo nakutafuta whatsapp brother through 0754062477
Oya kampuni imesajiwa inajulikana kwajina la crytocurrency trading ipo office zao zipo Kinondoni ni wwe tu uwoga wako.
Mkuu mi nimejilipua na black package akaunti tatu kwenye Bitclub. And am earning 30.78 dollars in each account on Daily basis.So maisha nikuchaguwa maamuzi ni yako kama ni wewe ni muhanga wa hizo network marketing pole ila ata mm nipita huko nikaona hakulipi ndo maana nikatafuta fursa ambayo mm nipo huru huku hanaga package sijui ila ni ww tu kwa mfano mwezi wa tisa mwaka huu bitcion 1 ilikuwa sawa na$3226.41 leo ni $5500.00 jaribu kuwa una fuatilia hizi fursa.
Mkuu uwepo wako una nipa guvu kidogo actually ata mm nilikuwa mgumu kuamini vitu kama hivi ila niliamua kujaribu but nahisi ni wekeza kiasi kidogo ata leo nipata hela na weka tu bitclub bila hofu.Mkuu mi nimejilipua na black package akaunti tatu kwenye Bitclub. And am earning 30.78 dollars in each account on Daily basis.
Ni ngumu kuamini lakini that's the fact
Tatizo kampuni za kitapeli Ni nyingi. Inaliwa ngumu mtu kuamin.Mkuu uwepo wako una nipa guvu kidogo actually ata mm nilikuwa mgumu kuamini vitu kama hivi ila niliamua kujaribu but nahisi ni wekeza kiasi kidogo ata leo nipata hela na weka tu bitclub bila hofu.
Watu wahuni hapa duniani.yeye ana mwaka ktk hiyo biashara lakini nae anagombania daladala.Nimewahi kuhudhuria semina ya hawa watu sijui Trevo sijui madude gani, mara utaingiza milion Mbili kwa wiki na kutembelea gari zuri, ikabidi nisubilie mpka mwisho wa semina nione hayo magari mazur wanayoyazungumzia, lahaulaaaa nashangaa tunapigana vikumbo kwenye daladala za mbagara rangi 3, nikachoka
Okay. Ila upo free ata humu JF kuliza maswali bona na jibu na kutoa ufafanuzi..!Jamani si mujifunze kwa Ontario anaweka mambo wazi humu humu wala PM hataki. sasa ww umefanya Jf sehemu ya Tangazo then wakafaidi uko whatsap.Mbona mkuu unaivunjia heshima JF.Yaani wewe tangazo unaweka Paris ila shughuli yenyewe inaenda kufanyia Ruvuma huko tena Namtumbo.Acha utani bwana.Wengine humu hatutumiii whatsap,Fb wala hiyo istagram.Tutake radhi wana jamvi Mkuu.