Mfanyabiashara Toka Japan
Member
- Aug 23, 2019
- 22
- 19
Maelfu ya watu nchini Ivory Coast walikusanyika katika uwanja wa Felix Houphouet Boigny huko Abidjan kushiriki ibada ya kuaga mwili wa marehemu Ange Didier Houon maarufu kama Dj Arafat.
Dj Arafat ayelipoteza maisha baada ya kupata ajali ya pikipiki huko Ivory Coast mnamo Agosti 12, 2019.
Mazishi yake yamekutanisha watu mashughuli Afrika na duniani wakiwemo pia wasanii na wanamichezo kama Davido, Fally Ipupa, Koffi Olomide, Didier Drogba na wengine wengi.