Simanzi Afrika! Dj Arafat Azikwa Kitaifa Ivory Coast

Joined
Aug 23, 2019
Posts
22
Reaction score
19


Maelfu ya watu nchini Ivory Coast walikusanyika katika uwanja wa Felix Houphouet Boigny huko Abidjan kushiriki ibada ya kuaga mwili wa marehemu Ange Didier Houon maarufu kama Dj Arafat.





Dj Arafat ayelipoteza maisha baada ya kupata ajali ya pikipiki huko Ivory Coast mnamo Agosti 12, 2019.



Mazishi yake yamekutanisha watu mashughuli Afrika na duniani wakiwemo pia wasanii na wanamichezo kama Davido, Fally Ipupa, Koffi Olomide, Didier Drogba na wengine wengi.




















 

= mashuhuri

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Alikuwa ni King wa Coupe Decale.
Ukiangalie waliokwenda kumzika ndiyo utajua. Mara kadhaa Drogba alikuwa akifunga goli basi hucheza kama anakata kitu hewani na kisu ambayo ndiyo ilikiwa style ya Coupe Decale. RIP Arafat.


Vijana vaeni kofia yaani Helmet mkiwa kwenye pikipiki. Pia kuweni waangalifu. Huyu Marehemu alisifika kwa kuendesha pikipiki ovyo ovyo. Na pikipiki imemuuwa.
Youtube zipo film zake kadhaa akiendesha ovyo. Wengi walijua ni muda tu yatamkuta.
 
Nimeona video mashabiki wake wamefukua mwili wake kuhakikisha kama ni yeye waangalie tattoo zake
Yap nimeona na watu walikuwa hawaamini kias kwamba kwenda kumfukua na kumcheki walitwanyishwa na mabomu ya machozi hiii ni madlove aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…