OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
So what??? Ndo umemaliza??Hali ya simanzi imeikumba Yanga jioni ya leo baada ya makundi ya kombe la Kagame kutoka jioni ya leo.
Yanga imepangwa kundi moja na timu tishio Africa mashariki na kati Simba SC
Mumechomekwa fasi ya dwasiUkiweka ushabiki kando utagundua CECAFA wapo kimaslahi zaidi. There is no way ukaziweka Real Madrid na Barcelona kwenye kundi moja. Maybe ni njia ya kuilazimisha Yanga ipeleke first eleven yake kamili na sio vijana kama wanavyofanya miaka ya hivi karibuni. Mwenye mapenzi mema na maendeleo ya soka ukanda huu hawezi akafurahia huu upuuzi.
Ni tishio baada ya kupigwa Chanel tenkweli nyau tishia ana goli -6 club bingwa labda tishio kwa kupigwa 5+5
Mamikono mawili mnaingiziwa kama mko labourHali ya simanzi imeikumba Yanga jioni ya leo baada ya makundi ya kombe la Kagame kutoka jioni ya leo.
Yanga imepangwa kundi moja na timu tishio Africa mashariki na kati Simba SC. Kundi C lina Dakahada na St.Peters.
Ikumbukwe tu katika msimu uliopita Yanga walikwepa kikombe hicho kwa kisingizio cha kushiriki CAF.