OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
-
- #61
Nachokumbuka ni Kagere kupiga mkojo mzito dwii imepata mimba familia nzima,mpaka babaMambumbu flani juzi niliyakumbusha kashfa ya mchezaji wao Thomas Karume aliyekuwa anafirwa na akina Kaburu yakajifanya yamesahau.Ile mechi Kaly Ongara anamgeuza mwameja kama demu wake na mbumbumbu fc yanakufa tatu bila mashabiki wakarusha shanga uwanjani yamesahau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshamba mwenyewe, hata qualification ya Mapinduzi cup hujui. Maudhui ya mashindano ya mapinduzi cup ndiyo inatufanya tuwe eligible kushiriki, tofautisha na kagame mkuu was washamba wwMapinduzi Zanzibar mlienda kama akina nani?.. Mbona mashabiki mnaishusha hadhi timu yenu kwa kuogopa Mashindano??
Yanga ni timu Kubwa Acheni ushamba
Ukikaa kimya ni njia ya kuficha ujinga watu wasikujue, Mapinduzi timu zinateuliwa wakati Kagame ni michuano ya klabu bingwa ukanda wa Cecafa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukikaa kimya ni njia ya kuficha ujinga watu wasikujue, Mapinduzi timu zinateuliwa wakati Kagame ni michuano ya klabu bingwa ukanda wa Cecafa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyo chura kachanganyikiwa tu msamehe bureTimu ya vibabu Inapiga Vijana kama Yanga + Azam?
Tumjadili Thomas Karume na shanga uwanjani.Nachokumbuka ni Kagere kupiga mkojo mzito dwii imepata mimba familia nzima,mpaka baba
Kataeni waoga nyie... TushawazoeaMshamba mwenyewe, hata qualification ya Mapinduzi cup hujui. Maudhui ya mashindano ya mapinduzi cup ndiyo inatufanya tuwe eligible kushiriki, tofautisha na kagame mkuu was washamba ww
Bado hamjatapika.. Kagame inawangojaMwache mkuu, tatizo lake in kuparamia vitu asivyo na uelewa navyo, matusi anayotoa yanadhihirisha kilichoko kwenye kichwa chake, hata panzi ana unafuu. Ndiyo shida ya kushabikia mpira na kuipenda Simba kwa influence ya Haji Manara
Anzisha uzi huu hauhusiani
We Fara Kweli unajiona unajuwa kumbe zero brain tuWewe utakuwa na matatizo kichwani michuano inatimu za simba,yanga, azam, APR, Lion, vita, leopard,KMC,goli mahia na URA alafu useme michuano imepoteza mnvuto? Utakuwa ujitambui wewe sio bule.
Sasa bro ndo unitukane kweli? Kwamba kichwani mwangu nikama maccm kweli?We Fara Kweli unajiona unajuwa kumbe zero brain tu
Tafuteni visingizio vikubwa