Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

Msuli tembo matokeo sisimizi, ndio alichokifanya kibu hapa

Katumia nguvu kubwa kuurudisha mpira usitoke na mwishonwa siku umechukuliwa kirahisi na mpinzani
 
Weka penalty hapo nilisema Sakho akianguka refa hupaswi kujiuliza
 
Aaaah yani jamaa kachezewa faulo mbaya, hii faulo sio ya kujeruhi hii ni ya kuua

Huyu kigonya kaitoka hapa inabidi akaosemewe mashtaka ya kufanya jaribio la mauaji
 
Na ikiwekwa penalty itakuwa mzuka maana tunajua huyu kipa kwenye penalty hata hajisumbuagi
 
Pablo achana nao hao waamuzi hawajui ngeli watahisi unawatukana kikwenu
 
Waha dawa yao kuwapiga goli kama lile la msimu uliopita la Miquissone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…